Kuvunjwa kwa Bunge Tarehe 20 August 2015

Pole sana kama unaamini kauli za JK,alikuwa anasubiri kuona kama upepo wa Kisiasa utaenda vizuri kwa CCM then aje kuimba taarabu na kupiga vijembe Ukawa,kwa bahati mbaya upepo sio mzuri kwake na CCM yake kwa hiyo hataweza kuja tena Mjengoni maana sasa hivi muda unabana wa kuzunguka na mgombea wake kwenye misiba,kipaimara na send-Off.
 
mkuu na wewe bado una amini kauli za jk??
kwani si alisema wauza unga anawajua!!
majangili wakubwa40 anawajua kinara wao yupp Arusha ila hajawah kuwataja wala kuwashtak
 
Naona jengo la Bunge limesimama bado halijakaa, linavunjwa leo? saa ngapi?
 
Pole sana kama unaamini kauli za JK,alikuwa anasubiri kuona kama upepo wa Kisiasa utaenda vizuri kwa CCM then aje kuimba taarabu na kupiga vijembe Ukawa,kwa bahati mbaya upepo sio mzuri kwake na CCM yake kwa hiyo hataweza kuja tena Mjengoni maana sasa hivi muda unabana wa kuzunguka na mgombea wake kwenye misiba,kipaimara na send-Off.
duh huyuu huyu jk
 
Kwlei sikujua kuna mtu anaamini maneno ya kikwete na ccm yake.

Ninaashindwa kabisa kuelewa huyu mtu hata huo uwaziri aliupataje.

Kwa muda huu ulioongezwa, nini mustakabali wa malipo na huduma zingine kwa hao wabunge?

Nani atalipa hizo gharama zote zikiwemo zakuitisha bunge ili livunjwe?

Ni lini marekebisho ya katiba yalifanyika ili kuwaongezea wabunge muda wa ziada?

Budget hiyo ya ziada ilipitishwa lini na chombo gani?

Ccm ni mauti kwa taifa.
 
Kwa Khali Ilivyo tete Hata Ameshasahau Alisemaje. Macho yote Dunia Inaiangalia TZ Kuona Kama Itavuka Salama Kwenye

Mtihani Mzito.For the First Time Politically Stable Country Is Going to be Tested. Je CCM Itakubali Kuachia Madaraka Kwa

Njia ya Amani Au Ndio Wako Tayari Hata Kwenda The Hague Wakiwa Wamefungwa Pingu. Let us wait and See,Time Will Tell.
 
Pole sana kama unaamini kauli za JK,alikuwa anasubiri kuona kama upepo wa Kisiasa utaenda vizuri kwa CCM then aje kuimba taarabu na kupiga vijembe Ukawa,kwa bahati mbaya upepo sio mzuri kwake na CCM yake kwa hiyo hataweza kuja tena Mjengoni maana sasa hivi muda unabana wa kuzunguka na mgombea wake kwenye misiba,kipaimara na send-Off.

Kwahiyo wewe unamaamini kauli za lowassa..?
 
Nini madhara ya kutekenywa halahu ukatekenyeka???????naona ccm wametekenywa tayari wanapoteana tu hawajui washike lipi waache lipi mwaka huu hawatokiii hawa tumewachoka kabisaaaaaaaa kuanza upya sio ujinga
 
Nakumbuka JK alivyokuwa anahutubia Bunge alisema atavunja Bunge leo tarehe 20.08.2015, naomba kujuzwa kama JK ameshalivunja Bunge na kama bado ni saa ngapi analivunja bunge.
weka hiyo habari na sisi tuione. otherwise hizi ni porojo.
 
Nakumbuka JK alivyokuwa anahutubia Bunge alisema atavunja Bunge leo tarehe 20.08.2015, naomba kujuzwa kama JK ameshalivunja Bunge na kama bado ni saa ngapi analivunja bunge.

Du kumbe lilikuwa halijavunjwa,ndo maana wengi walikuwa kimya,nadhani account zao zikisha soma tutasikia mengi
 
Bunge halivunjwi kwa kikao maalum cha bunge bali kwa waraka wa rais ambao utatangazwa katika Government Gazette!

Hivyo litafute hilo gazeti!

tanganyika yetu
 
Last edited by a moderator:
Bunge linavunjwa rasmi leo,ili kesho ufanyike uteuzi wa wagombea.Ni kwamba mishahara yao, posho na kinga za kibunge zimeisha rasmi leo.Hakutakiwa kuitisha bunge tena ila wanatoa tangazo kwenye gazeti la serikali basi.
 
Pole sana kama unaamini kauli za JK,alikuwa anasubiri kuona kama upepo wa Kisiasa utaenda vizuri kwa CCM then aje kuimba taarabu na kupiga vijembe Ukawa,kwa bahati mbaya upepo sio mzuri kwake na CCM yake kwa hiyo hataweza kuja tena Mjengoni maana sasa hivi muda unabana wa kuzunguka na mgombea wake kwenye misiba,kipaimara na send-Off.

Kipaimaraa? Hahahaaaa
 
Tupekue magazeti ya leo ya serikali kujiridhisha kama ametekeleza ahadi yake hiyo.
 
Back
Top Bottom