Hapana kitu kama zawadi huwezi kudai hizo pesa pia kama ulitoa kwa hiari na sio mkopo huwezi kudai.. Sana sana labda udai fidia ya usumbufu navkupotezewa mudaOooh ok sawa nashukuru ndugu na vipi nasikia Kuna kudai pia zawadi na pesa ambazo alikuwa akipewa mkiwa wachumba Kuna ukweli kwenye hili.
Kafungue shauri polisi utapewa mwongozo .hapo ni lazima mahari irudi
Ni ngumu kuanza kumhukumu mapema kabla ya kusikia upande wake.. Mahusiano yanayofikia kipengele cha ndoa hukumbwa na mengi ya kutisha.Halafu kuna siku atalalamika kwamba shetani alimpitia anaomba mambo yaishe mrudiane....
Au atalalamika kwamba anamikosi ya kuolewa. Shenzi kabisa
Ndio maana nikamshauri akafungue SHAURI polisi kisha apewe MWONGOZOMadai siyo kazi ya polisi. Ni kazi ya mahakama...
Uchumba mpaka kufikia hatua ya kutoleana mahari huwa umedumu kwa mda mrefu na mmeshajuana hadi tabia labda kama wameokotana chapchapNi ngumu kuanza kumhukumu mapema kabla ya kusikia upande wake.. Mahusiano yanayofikia kipengele cha ndoa hukumbwa na mengi ya kutisha
Nakumbuka mimi ile wiki ya harusi nilinusurika ajali mara 5, 2 zikiwa natembea kwa miguu na 3 nikiwa nadrive..kama nisingekuwa kamili leo hii nisingekuwa hapa
Si kila mmoja anaweza kupotezea kama wewe na sometimes mahari husika uliitoa kwa tabu kubwa...Hivi mtu unaenda polisi kushughulikia swala la kiduwanzi kama hili kweli?
Mwanamke hakupendi,sasa hadi muda wa kufata hiyo mahari utakua nao kweli?
Sirudi popote,wale,nitapata michongo mingine
Kupotezewa muda?Yaani kwamba ulipiwe muda wako?
Jeez
Dunia hii kuna vishoia kabisa
Pole sana ndugu jambo lako litafutie wakili mzuri lipeleke polisi ukalipwe mahali yako udai na fidia ya usumbufu.Sahihi Mimi ndio niliye mchumbia
,Sory kwa Hilo kuu
Hizo dakika za lalasalama shetani husimamia show kwa namna ya ajabu kabisa... ! Nimeshakutana na kesi nyingi za namna hii na nyingine zikiwa ni simulizi za hapa JFUchumba mpaka kufikia hatua ya kutoleana mahari huwa umedumu kwa mda mrefu na mmeshajuana hadi tabia labda kama wameokotana chapchap
Dah broo nakuelewa Sana , yaani mpaka nahisi kafungwa kiakili maana akiulizwa kwanini umeamua anasema Mimi huwa namwambia njoo unifulie wakati bado hata ndoa sasa kiuhalisia haiingii akikiniNi ngumu kuanza kumhukumu mapema kabla ya kusikia upande wake.. Mahusiano yanayofikia kipengele cha ndoa hukumbwa na mengi ya kutisha
Nakumbuka mimi ile wiki ya harusi nilinusurika ajali mara 5, 2 zikiwa natembea kwa miguu na 3 nikiwa nadrive..kama nisingekuwa kamili leo hii nisingekuwa hapa