Habari wadau!!
Kuna hili swala nimewasikia watu wakisema nyumba inavujisha umeme, ni nini hasa hichi kitu?? Umeme unavujaje maana nimepata maelezo yanayotatanisha!! Wengine wanasema sijui hutokea earth-wire inapokuwa imekufa, wengine chumvi kwenye earth-wire imeisha, wengine wanadai kuna mahali panatokea sparks ndizo zinazovujisha umeme, wengine radi za kumulika zikipiga umeme unavuja sana!!
Madhara ya kuvuja kwa umeme nasikia wengi wanasema ni kujikuta ukilipa bili kubwa ilhali vyombo vyako vya umeme vinavyotumika ni vichache sana na visivyotumia umeme mwingi.
Leo nimeona tuliweke kati hili swala ili muweze kututoa tongotongo tusiofahamu juu ya hili.
1. Nini hasa kinasababisha kuvuja kwa umeme??
2. Tiba/suluhisho lake ni nini?
3. Utaigunduaje nyumba inavuja umeme tofauti na kuona unit zinalika sana.
4. Tunaweza kuzuia vipi kuvuja kwa umeme kwenye majumba yetu.
Kwenu wataalam wa umeme,
Nawasilisha,
Asanteni sana
Moja ya sababu ya earth leakaje ni uchakavu wa wiring ya nyumba husika,sheria za umeme zinaelekeza kila baada ya miaka 3 kufanya/kukagua wiring ya nyumba nzima,nyumba zetu huweza kukaa hata miaka 10 hazijafanyiwa ukaguzi
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Looh!! Mi mwenyewe hapana kufahamu hili!!
In low voltage applications, leakage current is caused by an accidental grounding or a faulty component in the circuit. In medium and high voltage applications, it can even be caused by current running over the insulator instead of the intended medium
Leakage current can be caused by voltage on the conductor you are using, a reactance between the Earth and the conductor, or a resistance between them. Check each connection carefully to determine which is causing the leakage current.
Leakage currents are caused due to the conductors voltage, the reactance that occurs from the conductor to the earth and how much resistance occurs from the conductor to the earth.
Hiyo leakage current suluhisho la kudumu ni
1.proper earthing (make sure kuna earth road na ELCB)
2.systematic domestic wiring(follow standards local and international)..
3.cheap materials and substandard work hii ndio huwa inachangia sana failure kwenye circuit kama huna proper earth kazi unayo..
jua kabisa leakage current nao ni mzigo/load unnecessary consumption inakula unit zako pasipo umuhimu wowote..
utakuta nyumba nyingine ELCB hii earth leakage circuit breaker ni geresha tu.. ukijaribu kuitest unakuta hola ...
SOMA hapo chini kidogo
Hebu nipe shule hapa mkuu: Regulator ya ceiling fan inapata jotokali kama pasi wakati ninapowasha fan. Nifanyeje kumaliza tatizo hili???
The regulator controls the voltage that makes the current flow less or more. Lower the voltage lower the speed of the fan. So a regulator controls the voltage levels for the fan.
A regulator would normally be used to change the speed of the fan
regulators have resistors to decrease the voltage for the ceiling fan. The resistor heats up while decreasing the voltage and thus the electricity saved by reducing the fan speed is lost as heat in the regulator. The internal heat also damages the regulator in long run.
si ya hivi mkuu
itakuwa ina muda mrefu hiyo maana ukicheki operating principle inatumia variable resistors/rheostat ambayo lazima heating effect utainotice
tizama hapa
na si unajua kazi kubwa ya regulator ni
ona chini maelezo kidogo..
so muhimu unaweza ibadilisha based on fan rating maana ndio kitu cha muhimu sana..inaweza waka siku moja maana ikiyeyuka.. insulation failure .. inaweza ikawaka
Mkuu,Hizi fan ndiyo fundi anazifunga sasa.i.e ni mpya- aina: Myonnus kutoka india. Nilipozichunguza nimeona tofauti na fan nyingine ni hii circuit board ambayo haina eath na imetengenewa kwa bati wakati ya Panasonic au USHA ni plastic. Je, hii inaweza kuwa chanzo cha tatizo???????