Kuvua pichu pasipo kupenda

kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only

Jidanganye tu,wenzio wanaogelea na midamu hivohivo baada ya kuchoka kuzungushwa
 

ukweli utaniweka huru siku zote na hapa nasema ukweli kabisa kutetea hii katiba ya mapenzi na Mungu anisaidie... amina
 
Mh! Ivi misschagga unataka kuniamisha unaowa.... wote umewapenda?

kiupande wangu natambua hawanipendi but kunakitu wanapenda kutoka kwangu! Kwa mantiki hiyo, pindi sina kile wapendacho pichu hazivuliwi!
sawa basi kama ni hivyo usile usivyovipenda ni dhambi
 
Fedha ya ajabu sana inaweza kuvua hadi chupi
 
mimi naweza ila usikiss kwanza afu naanzisha storry za kitoto yani zille zinaanza na mama yangu, mdogo wangu, kaka yngu, mjomba, ant suzi sijui mbona utakoma lazima uboreke

Hujakutana na wenye uchu ww!acha kbs hyo michezo....
 


Kwani una umri gani bibie???? Na je unaishi wapi???? Nimeuliza hivyo kutaka kujua maana inawezekana unaona ugumu kuvua pichu kumbe hata huvaagi.

Things have changed my dia,cku hizi kumvua mtu chupi cyo ishu tena maana ni sawa na kula chakula,wakati zamani hata kuiona tu chupi ilikua ishu na ukiona chupi lazima uwasimulie wenzako lakn sasa hivi utaziona kila mahali;ukiwa na cm utaona mpaka tigo,ukirudi home ndo unakuta zimeanikwa utafikiri mihogo na ukiingia mtaani au ofcn unakutana na watu wamevaa in such a way kwamba lazima utajua mpaka rangi,,,,!!!

Sasa basi, hata hivyo vitumbua vilivyo kwenye kwenye chupi havina thamani tena na "SUPPLY YAKE IMEKUA KUBWA KULIKO DEMAND" Na kwakua kitumbua chako ni sawa tu na vingine huna haja ya kutowapa wananchi,,,,!!!!
 
ukweli utaniweka huru siku zote na hapa nasema ukweli kabisa kutetea hii katiba ya mapenzi na Mungu anisaidie... amina

Basi mkuu jisemee wewe, above 80% ya women out there are having sex as if zeia iting karanga!
 

Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
 
Last edited by a moderator:

so far ushavulia chupi wangapi?? unawapenda wote?? labda kupenda ina maana nyingi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…