umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 675
Shikamooni wakuu,
Kuna kitu najiuliza labda kuna watu wana uzoefu humu,
Mie nlishawahi kujaribu kuwaza jinsi ya kumvulia pichu mwanaume ambaye hayupo moyoni mwangu
Hii siyo mara moja kiukweli ni mtihani sana kujilazimisha kuect kumpenda mtu fr somthing labda ingekuwa naweza hicho kitu ningekuwa hata mh.umukagame naw ningekuwa levo zingine kabisa lakini nshashindwa
Wenzangu em nambieni kama kuna yeyote alishawahi kujilazimisha kumpenda mtu na akafanikiwa!!mie moyo ukishasema no huwa inakuwa no kweli sibadilishwi