Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

Huo nao ni urembo mwingine bibie.Alafu unakua huru kweli...ukiachilia kutoka bomba kama umejibeba!!Lolzz
dah!kumbe mnajua!!sa mbona huwa mnawazodoa sana wanaotafuta msaada wa wachina!?yaani hii foleni nayo hata haisogei bana,akili yote umeipeleka nyumbani we lizy,duh!
 
hata hivo kuna zile romantic naiti dress
mwanamama akivaa ni mvuto kwanza inahamasisha kupanda kitandani
 
Kila kitu kina ladha yake jamani kuvuliwa nguo kuna raha na hamasa yake na kulala bila nguo pia kuna raha na hamasa yake. Ni nyie wawili tu mnavyojisikia. Unaeza ingia kitandani na nguo kama kawaida kashughuli kausiku unajikuta asubuhi mko watupu.....:hiyo imekaaje?
 
No comment
 
kimsingi kila jambo lina mazuri na mabaya yake! inawezekana nite dress ikawa na hamasa zake. hili nafikiri linategemeana pia na umbo la huyo mwana mke na aina ya N/Dress aliyovaa. kwa wenye maumbo kama no 6, 8 alafu wamejaziajazia kweli wanatia amasa has Dress linapokuwa jepesi! lakini utakuta kamwanamke kembamba ndani ya N/Dress unashindwa kumtofautisha na limti lililovikwa nguo-hizo hamasa zitatoka wapi jamaniiiiiiiiii? mbaya zaidi ni pale wanapovaa TRUCK suit eti N/Dress! jamani basi mpeane semina kuhusiana na Hizo N/D:help:
 
dah!kumbe mnajua!!sa mbona huwa mnawazodoa sana wanaotafuta msaada wa wachina!?yaani hii foleni nayo hata haisogei bana,akili yote umeipeleka nyumbani we lizy,duh!

Hehehe kwasabu vitu vya mchina sio orijino!Hope umefika kufurahisha macho!
 
Mimi na Msukuma wangu tukiamua huwa tunalala na maovaroli yetu. Langu la orenji lake la bluu, raha mustarehe
 
Nikifariki sitajua wala sitainjoi hata ukininunulia jeneza la dhahabu!Nipe mchango wa harusi ndo ntajua kweli![/QUOTE]
khaaa! yaani hela nitoe mimi halaf masarakasi apige njemba nyengine. nitake razi
 
Back
Top Bottom