Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...

Ushamba wako uko wapi yani hupendelei au? night dress inaweza kuwa na manjonjo kweli kweli!..
Actually ni kati ya vazi ninalolipenda maalum kwa usiku kupumzika..zipo mbalimbali kwa rangi, muundo, display n.k. zinavutia sana!!
 
aaargh! wewe wa wapi?, night dress linapandisha mzuka bana! akikujia peku peku na midubwana inaning'inia kifuani utazani viloba vya kolosho si unaweza ukatokea dirishani kwa uwoga. halaf pia unapata ka bonus ka kumvua ambako pia kuna ka utamu wake. hivi tuko jukwaa la MMU au la wakubwa?

Hahaa, umenifurahisha sana,,,, ndivyo inavyotakiwa iwe,, maana hawa dada zetu wakiwa hawana nguo some time wana,,,,ti..
 
manguo yanini bro tena usiku yanatia uzito hivyo hivyo kama ulivyozaliwa ili ufaidi usiku vizuri
 
Back
Top Bottom