Mimi huwa navaa ya my wife mara moja moja🙂
mbona kawaida tuu mi huwa navaa boxer yake mbona
Hahaha lohFor u women its ok lakini mimi na dudu langu nikavae bikini halafu naelekea ofisini over my dead body
Na jamaa kavaa ya kwako.....Mwenyewe mevaa ya beby nipo zangu job saaf kabisaa!!! teh!!
Yaani ile kamba ya bikini ipite kule mferejini.........never.....
Mwishowe utataka uchokonolewe.....ndio unapoanzia upunga...hapa hapo............kila saa utakuwa unajichokonoa mpaka uizoee ni shidaa.....