mwangukule
Senior Member
- Aug 15, 2013
- 131
- 7
mkuu nguo za chama huwa navaa ila sijawahi tinga nazo mwanza mjini kwani mimi ninaishi USAGARA kama unaenda busisi.
Embu na we jaribu kuvaa labda wamenionea tu hao watu walionizomea,nimechukia kweli leo
ni uhuru kikatiba kutembea ukiwa unanuka kikwapa lakini wenzio wana uhuru kikatiba pia wa kukaa mbali na wewe. Nguo ulizovaa zinakutambulisha wewe ni mtu wa aina gani na unamaanisha nini kwa hao wanaokunyanyapaa.Iwapo hii ni kweli, basi tumefika pabaya mno
Kwanini mtu anyanyapaliwe kwa kutumia uhuru wake wa kikatiba?
nimeipenda comment yako na nakuingiza kwenye kundi hilo, CHADEMA wote ni watu mnaondeshwa na emotion kama wanawake,mjejawa na fikra dogo na hasira nyingi bila kujua siasa ni nini?. Wazur wa ku2kana na kupinga hoja za wa2 bila kutoa mbadala wa mnachopinga....Siasa ni ugonjwa na ni mchezo mchafu 2zindukane angalia kiongoz bora sio chama coz vyama vyote duniani ni sawa
Awali ya yote niwasalimieni nyote.
Nilikuwa na safari ya kutoka sokoni hapa mwanza mjini na niliitaji kwenda hadi Kilimahewa nikaona nipite Makoroboi ili nipande hiace pale karibu na mataa.
Nimekutana na dhahama na kunyanyapaliwa kusiko na mfano mara niitwe teja,fisadi wengine wananisukuma bila sababu kisa nimevaa tisherti ya Ccm,kosa langu ni lipi hadi kufikia hata wenye hiace wanakataa nisipande gari yao?
Nimepatwa na hasira sana!