Kuvaa nguo ya CCM ni dhambi?

Una bahati, laiti ingetokea tu kibaka ameiba alafu nawe upo karibu zikasikika sauti za 'mwizi! Mwizi!'Muda huu tungeongea mengine!kibaka angeachwa!Kuna watu wana machungu hadi unaogopa.Usirudie tena kuvaa ulivyovaa kwa sehemu kama Mwanza ni HATARI SANA!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

arusha ni hatari zaidi hakika nakueleza......
 
Kwa kifupi, huwezi kuwa na akili timamu ukavaa nguo za CCM. Lazima tu utakuwa na mapungufu fulani kichwani. CCM imelaaniwa.
 


dhambi kubwa sana ambayo hata shetani anaiogopa....vipi ndo ulienda na litishet lako kupigia picha kwenye limzunguko la samaki?
 

Arusha ukiingia Kwenye Kifodi (daladala) watu wote wanashuka, ni kama mkosi flani vile. Ukitaka kuivaa unaifutika Kwenye mkOba, ukifika mkutanoni unaingia chooni unaivaa, soon after mkutano unaitoa faster.. Mie Sijui vazi Hilo Lina Nini siku izi..?
 

tena kwetu tunakutupa kwenye "evil forest" coz wewe ni hauna tofauti na mtu mwenye "leprosy" -ukoma. na hutakiwi kuchangamana na watu wengine.
 
Tena usirudie maana hata baba wa taifa hajawahi vaa muda wote wa uongozi wake
 
Join Date : 6th October 2012
Posts : 270
Rep Power : 399
Likes Received60
Likes Given0

Hata humu wewe ni wa kupigwa mawe tu.Hapo tu kwenye red napata picha ya tabia yako.

acha ushamba wewe.. wengi humu wanatumia jf mobile ambayo haina option hiyo.
 
Kitu kama hichi nilikishuhudia mkoani Arusha, ambapo Mama mmoja kada mwenzangu wa CCM alisimulia jinsi alivyoshushwa kwenye Basi njiani baada ya kuonyesha kuwa yeye ni mpenzi wa CCM(Japokuwa hakuwa amevalia sare za CCM) ndani ya Gari wakati abiria wakijadili hoja za kisiasa.
Abiria karibu wote waliokuwa ndani ya Gari lile walikubaliana kwa kauli moja Yule mama ashushwe kwa kuwa ni 'Nuksi' kwa safari yao, Dereva bila ubishi alisimamisha gari tena Porini na Mama akashushwa pamoja na mizigo yake na kuachwa Porini kisha Bus likaondoka.
 
shauri yako. Hiyo haina tofauti na kuvaa sare ya magereza halafu upite mbele ya askari kitaa.
 

Inamaana hujui ubovu waliolifanyia taifa hili?
 
acha ushamba wewe.. wengi humu wanatumia jf mobile ambayo haina option hiyo.

Umeona mwenyewe alivyonijibu hapo juu?Maana naona mke wake umekuja juu kweli.Samahani kama nimekukwaza.Hata hivyo bila ushamba huwezi kuelewa mambo.Kuna wakati hata mimi, huwa natumia simu na huwa natoa like kwa members wengine.Labda ungeniambia aina ya simu ndiyo nitakuelewa lakini siyo kuweka neno ushamba.
 
CCM imeshachafuka na nguo zake zimechafuka.

Ukivaa nguo za CCM kila unapopita unanuka kila aina ya uvundo lazima watu wakushangae na si ajabu wakuzomee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…