Hapo kwenye kupigwa vizinga kwangu mimi wamechuti kabisaaaaa.
View attachment 93091
CC kwa wapiga vizinga wote kama vile King'asti, Smile, lara 1, Mamndenyi, Paloma na Little Angel.
ulishawai kunipa sh ngapi?
kama kuna mtu nilishawai kumpiga mizinga alike hapa
sihusiki
watu wa mizinga wapo ila hiyo orodha yako mwalimu saudari mmmh umeuwa bendi
kwani haujui lara 1 ni mtoto wa mzee wa vijisenti? King'asti ni daktari ana mshahara mkubwa, Smile ana mgodi wa dhahabu kule mererani, Paloma mke wa kwenye mtandao wa sosoliso anakula vya bure, Little Angel labda ndo bado anapiga piga mizinga Mamndenyi????????
seems JF ni mabingwa kwa kuwa na Videmu vya Mizinga eeeh, Ngoja Kuva ameashaanza kazi ya kuitembelea JF
nilijua labda nimekosea
kama ni sawa ok go ahead
angalia lakini waleti zingine zimeweka viungo vya mboga.
hahaaaa..ikiwa hamna madolari inabidi vibebwe tu hata hivyo kupunguza bajeti hom....
Bujibuji kuna mtumishi kajitokeza huku!!!![TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Zaburi[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]12[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]5[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge, Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji, Sasa nitasimama, asema Bwana, Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ha ha haaaa
utoke dolari uishie viungo vya maharagwe
dont let me down bhana.
Mwenzio nili dunduliza halafu ukaichukua yote.
vizuri gharama my dear..kwanza pesa kitu gani si utatafuta tu ingine bhana!!
you have to submit pretty lady's demand...lol
Ndo maana upendo wangu kwako haufifii kamwe.