Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,121
- 3,732
Napenda kuuza bidhaa tajwa nje ya nchi hasa ulaya na uarabun. Uwezo wangu ni kuexport lita 1200 kwa mwezi. Anayejua nifanyeje kupata soko na taratibu stahiki za kisheria anipe maarifa. Na ushauri wa parkaging ya gharama nafuu. Ningependa iende kama raw honey sina nguvu ya kuiongezea mnachoita thamani.