Kuungama kwa padri

Hayo ni maoni yako na you are entitled to your own opinions.
Bible ni reference ya kila kitu tunachotakiwa kukifanya ama kukitekeleza ktk ukristo. Kama watu wanafuata vitu ambavyo havipo ktk bible huo ni upotoshaji wa imani.
Ukiniambia nikatubu kwa binadamu mwenzangu wakati sijaona hilo kwenye Bible basi ninayo haki ya kuuliza na kupatiwa majibu based on biblical facts na sio facts za mapokeo wala jazba ama kejeli.
Thanks
Agano la kale watu walitakiwa wakikosa wakajieleze kwa kuhani na watoe sadaka kwake ili aitolee madhabahuni....mistari huwa simezagi bhana.... soma maeneo ya Walawi 7
 
<br />
<br />
mada iko correct kuwa hakuna mwanadamu ambaye twapaswa kutubu kwake, kwani njia ni moja tu. Yesu Kristo.
Hawa mnaowaabudu na kuwaita baba (jambo ambalo hata Yesu alilikataa) ni makosa. Si ndo hawa ambao wanapelekwa the HEAGUE kwa kunajisi watoto?
Sasa huyu hawezi kuomba afowadiwe x pics?
Acheni jazba na kuwa realistic.
kuna imani nyingi duniani.... ukisimamia yakwako utakuwa unafanya zuri sana... Ukishindwa utaingilia za wenzako.. and that is kinda gayish... ni kama mwanaume kujadili kuvaa gauni..
"na wala usimwite mtu baba" Yesu alikataza.. I hope huna baba ama humwiti baba.....ngumbalu ya biblia ni shida
"Na wala usimwite mtu mwalimu"..... shule una walimu na mwalimu wa sunday school..
 
Am catholic..... sinta take this joke personal kwakuwa utani ni jadi yetu....... kuhusu maungamo Kwa padri na biblia yapo kwenye agano la kale.... wazee waliagizwa wakifanya dhambi wamweleze kuhani mkuu ( leo ndio padri) na watoe sadaka Kwa kuhani na kuhani pekee anaipeleka madhabahuni..... pia yesu akisema Kwa petro ninawapa funguo.... chochote mtakachofungia etc..... angalia pia suala la padri kuwekwa walfu na kugeuzwa kuwa nabii wa mungu ama mwakilishi. ... ziko nukuu nyingi Za bible.... ntaweka link

Is Confession in Scripture? | Catholic Answers
Mkuu umefukua Uzi wa 2011
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom