Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,631
- 2,038
Habari wana jf ninatafuta watu wenye mlengo wa kupambana kwa ajili ya kutatua changàmoto zinzowakabili vijana wenzetu. Lengo kuu la Ngo hiyo ni kutatua na kusambaza elimu stahiki juu ya changamoto mbali mbali zinazo wakabili vijana wenzetu
Nakaribisha mawazo,michango sidhani kama kebehi patakuwa ni mahala pake hapa.
Nahitaji watu walio tayari
Nakaribisha mawazo,michango sidhani kama kebehi patakuwa ni mahala pake hapa.
Nahitaji watu walio tayari