Kuumizwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuumizwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by wamba, Sep 25, 2012.

 1. w

  wamba Senior Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  habari zenu wana JF, hivi inakuwaje umeishi na mpenzi wako wa zamani na akakutenda na baadae mkaachana ila ukaamua kwenda kuishi na mtu mwingine na ukawa na hasira za mambo uliyofanyiwa na yule mpenzi wako wa zamani kwa kumfanyia visa au kutompenda yule wa sasa na unaishi nae ilimradi upo na mtu lakini huna mapenzi kwa huyo mtu.
  hapa imekaaje wana JF.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Moja ya the best thing kuhusu kuumizwa Kimapenzi, ni njia pekee amayo humkomaza na kumkuza mhusika... Huyo anaepeleka hasira na visa kwa mpenzi wake mpya sababu tu kuna aliempenda na akamtenda naona tu kama ni Selfish (na ni tabia yake) AMA huyo mpenzi wake wa kale bado roho inadunda hapo.

  Kama mtu umesamehe mtu aliekuudhi hakukeri, unakuwa tu indifferent... Ila kama bado you have feelings whether 'hate' or 'love' ni lazima i-affect mapenzi yako uliyo nayo hasa kama hizo feelings ni kwa ex. Mtu wa namna hio kila mkipiga story hakosi sababu ya kupenyeza sentensi za kumponda huyo mpenzi wake wa kale (ingawa sio wote).

  Na kuna wale ambao roho zao 'mgando' (hasa kwa wanaume); akitibuliwa na mwanamke mmoja ambae alimpenda/muamini na kuinvest kuwa ndio Mwanamke pekee (only to find kuwa ni kimeo) inakuwa mwisho wa habari ya kupenda. Inabaki tu obligation ya kuwa na mtu bila kujali kuwa anampenda or not...
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  aisee huku si kumizwa manake kuumizwa uliulizwa na yule aliyetangulia hapa hili tutasema ni chuki na hii huweza kusababishwa na mambo haya

  1) yaweza kuwa ni matokeo ya maumivu uliopata huko nyuma so una -ve attitude towards watu wa jinsia husika.

  2) yaweza kuwa ni upendo usiokuwepo kwako kwenda kwa muhusika. hii mara nyingi sana huchangiwa na kutaka kumlipizia kisasi x- wako ili akuone kama unachombo kipya so wewe ulimchukua kama kumdoboleshea lakini moyoni hakuwepo.

  3) yawezekana una roho ya kutokukubalika so inakusumbua. hii mara nyingi hutokana nama husababishwa na maisha yako yako ya nyuma since uko mdogo na kwa wakristo wengi roho hii huombewa na kutoweka kabisa na inaaminika ukiwa nayo huwez kukubalika ama kumkubali mtu siku zote hata kuoa lazima utakuwa ni mtu wa kuachana ama kushindwa kuoa. ni kind of christian belief na huwa inafanyiwa ukombozi kwa rc huwa unashauriwa ufunge novena siku 90 na kusali matendo ya huruma na upendo ya bikira Maria kila siku basi roho hii hutoweka.

  4) yawezekana pia x wako kakuendea kwa babu ama bib kupuliza. mara nyingi huwa watu hawaamini but kuna haya mambo so n vyema urudi usali sana kuondoa hili.

  kwasasa ni bora usiwe na mpenzi kwanza hadi ujishughulikie uone kwamba moyo wako umeshafunguka na unaweza kuenda kwa dhati vinginevyo utawatesa watoto wa watu bure.
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmh ngoja ninyamaze kwanza maana naona dada zangu ASHA dii na@gfsonwin
  watanichapa bure
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  ni kweli kabisa mdogo wangu manake hapa nina bakora kali kweli. hahahaha, u mzima lakini?
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Wadogo zangu wapendwa gfsonwin na Smile nawasalimu with Love... Alafu Smile naomba kujua nini unasema kuhusu hili? Mradi uwe ndani ya mada gf hatakuchapa na hio bakora! lol
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kwanza shikamoo my dear sister...nimekumiss kweli
  mimi bwana siwezi kumwaga mchele kwenye kuku wengi
  ila ajipe muda kwanza kabla ya kuanza mahusiano mengine..ujue muda unatibu mambo mengi ...time ni dawa sana kwa moyo uliovunjika
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mdogo wangu moja ya njia ya kuweza ku heal maumivu ya Mapenzi ambayo ipo reliable pia ni kuwa na mtu mwingine. Kikubwa kabla hujaingia katika mahusiano mapya walau kuwe na gap ya kutosha (kama ulivo sema 'TIME').

  Ila naomba tu nikwambie kuwa kuna wengine miaka inapita but still wanakuwa bado... Hio time kwao inakuwa jina tu. Miaka inapita ila hali ya hew haibadiliki! Hawa watu huwaga hawana imani wala furaha...

  Marhaba mdogo wangu... Pia nimeku Miss. Nimefurahi kukuona hapa...
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  mie mzima kabisa dada sijui wewe. sitaki Smile aseme manake atakuja na -ve perceptions ambazo nimejitahd sana kumkanseli aziache lakin bado. siku hizi natumia njia ngumu kumfundisha ili aelewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  dada yangu hapo kwenye blue sababu zipo na hizi ni kama zile nilizoainisha hapo juu. nimejaribu sana kufuatilia watu ambao time doesn't heal them nikagundua kwamba huwa ni chuki imetawala mioyo yao. na chuki hii huletwa na mambo lukuki nafsini mwao.
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  The simple rule ni ukweli kuwa LOVE IS OVERATED. Unaempenda hakupendi,Usiempenda anakupenda. Jambo la msingi ni KUSETTLE na yule anayekupenda, kukuthamini na kukuona wa maana kwake, and learn to LOVE and APPRECIATE them in return. BAAAAAAAAAAAAAAAAASI!!!!!.
   
 12. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mambo haya hutokea sana...watu wengi wanapotendwa mara nyingi huanza mahusiano fasta sana kwa lengo la kujiliwaza (kumsahau yule aliyekutenda), we are human beings its hard to control ourselves katika issue kama hizi smtimz. Kwa hiyo unajikuta bado zile hasira unazo coz kuna mawazo flani yanakujia mara kwa mara
  So cha msingi endapo inatokea unaachana na mpenzi ni vizuri kuwa na muda wa kutulia....unakaa kama miezi sita, mwaka, au zaidi! then unaanza ukurasa mpya wa mahusiano! But in that situation it seems uliyenaye kwa sasa unakua bado hujampenda
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  sasa mdau mbona unanichanganya,,,,,????yaani anayenipenda simpendi halafu niseto nae HOW????
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hahaha! Smile is of a kind... Ni kumsoma tu hivo hivo haste haste bila kuchoka. Tutafika tu mahala hata yeye atakubali na tutashangaa akitangaza harusi yake kutukaribisha wana JF kuhudhuria harusi yake. Uzuri ni mzuri, anasumbuliwa vya kutosha... Naamini tu kutatokea kaka ambae atamfaa na kujua wapi wa ku trigger ili Smile a melt...

  Nakubaliana nawe dear...
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hapo ndipo hasa huwasumbua watu... Ni wachache sana wanaweza hilo somo. Na matatizo ya mapenzi mengi yanatokana na lack of appreciation. Ile ku demand zaidi ya hapo bila kutafakari nini hasa unapata na nini unakosa na kama unachopata yeye mpenzi wako ina drain, strain or sustainable?

  Ila Love is Overrated katika maeneo na maeneo... Sio yoote bana Lara.
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,467
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa naangalia kama ashadili amejibu
  sioni cha kuongezea kijana kila la kheri pole na machungu
  raha ya jicho kope babu
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,467
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Labda niongezeee kidogo ya ashadii
  kabla ya kufika huko unatakiwa kujua tatizo hasa ni nini mpaka mnafikia huko..ni muhimu kuttatua src ya tatizo na si tatizo lenyeewe..unapoenda nje ya ndoa kisa mwenzio akufurahishi kwenye utashi basi ujue kuna mwingine ataridhika nae na unapoaana ameanza kubadili nguo za 20000 kwenda lakimoja hapo na wewe unaamka kumbe kuna mtu anampenda la hasha wengine wanasema pepo wengine shetan lakini naamini shetan kwenye ndoa ni wewe mwenyewe..kweli kuna wanaokaidia na kuwa magube gube mpaka unatamani kujiua lakini kaachini tatizo ni nini???...mengine atamaliza ma sis ad.
   
 18. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,322
  Likes Received: 2,305
  Trophy Points: 280
  Hii makitu sometime haina mafomula......Kuna mmoja nilimpenda sana mida ya 2006 nadhani, lakini nikaja kugundua madudu yake. Mwanzoni nilithubutu kumwacha nikashindwa lakini baada ya mwezi nikaweza na kutema mzigo.........Ilinisumbua kama miezi miwili lakini baada ya huo muda hata sijui ilitokea nini nikawa namuona kama "mjinga" asiyekuwa na maana yeyote. Hata angekuja usiku chumbani kwangu namfukuzilia mbali.

  Hata leo najiuliza hivi kipi kikubwa nilichochanganyikiwa nacho wakati ule........Dah! huu moyo. Kwa hiyo utaona sikupata counciling ya aina yeyote na hakuna mtu aliyejuwa nimebwaga manyanga mpaka mwezi ulipopita na still nili-heal. Kwa mwingine inaweza kuwa tofauti pia au kwa mahusiano mengine inaweza kuwa tofauti pia!!.
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Pdiddy nimefurahi kukuona kaka, na Asante for your acknowledgement...

  Sasa wewe huko umeenda ni kupana mno! Kwenye ndoa ni kizungumkuti... Kama mtu ataingia kabisa katika committment ya ndoa na hali ana visa vya ex (tena hakuwa mwanandoa) inakuwa sio haki.

  Nadhani kama watasalitiana iwe sababu zengine lakini sio eti sababu aliumizwa na Ex. Hili swala la kutoka nje lipo SO very complicated. Waweza andika vitabu na usimalize bado...
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,467
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Hili swala la kutoka nje lipo SO very complicated:

  UNAJUA NI VIZURI KUAMINI MUNGU YUPO HATA USIIPOMKUTA AINA TATIZO LAKINI UKAMKUTA HUKU UKIAMINI AYUPO DUNIA UTAITAMBUA

  NIMEIPENDA SANA HII ADII WACHACHE SANA WANAOAMINI HILI JAMBO
   
Loading...