Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,937 Reaction score 10,815 Nov 30, 2025 #1 Kuuliza sio ujinga, Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa? Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani? Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa
Kuuliza sio ujinga, Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa? Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani? Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,734 Reaction score 118,637 Nov 30, 2025 #2 Atakuwa ni mdogo wake bila shaka. Ukijumlisha na mtoto, mkwe, mshenga, shemeji, majirani, watoto na wake wa mabosi wake wa zamani na sasa; siyo mbaya. Maisha yanasonga.
Atakuwa ni mdogo wake bila shaka. Ukijumlisha na mtoto, mkwe, mshenga, shemeji, majirani, watoto na wake wa mabosi wake wa zamani na sasa; siyo mbaya. Maisha yanasonga.