mgunda1990
Member
- Jul 19, 2012
- 73
- 4
jamani wandugu ujinga wangu ni huu,na tsh 600000/=nataka kwenda nunua laptop brand new,ila cjui kama ntapata,na kama ntapata au zinapatikana sijui aina gan ndo zinakua nzur..mf hp,toshiba,accer,nk..naombeni msaada wenu wadau,pia nataraji nikanunulie dar,mkantajia na maduka itakua ni vyema zaidi.
Natanguliza shukurani..
Natanguliza shukurani..