3MMANUEL
Member
- Nov 7, 2012
- 14
- 1
nimenunua televisheni pamoja na dishi la kunasa mawimbi ya TV na hapa nilipo hakuna mtaalam wa kunisaidia kufanya setting ili niweze kupata taarifa mbalimbali za ndani na nje ya nchi hivyo kwa heshima kubwa naomba mnielekeze nianze na hatua gani na nimalize na ipi! sijawahi tangu kuzaliwa nisaidieni waungwana!Mungu awabariki.