Acha Dhambi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 147
- 46
nitafanya nini ili betri ya laptop yangu idumu maana wako waliosema kuwa kila nitumiapo nikonect na power na wengine wanasema ikijaa nidisconnect msaada jamani niliko huku betri ikisumbua ni vigumu kupata
