habaor wadau nina mchina nokia fake nikiingia internet inakataa inaishia google nkiingia kwingine inakataa inasema "the document has been moved here" na nina memory card je naweza kwel kuingia labda kuna maujanja sina msaada tafadhal.Nawasilisha
Inawezekana kabisa kuiconfigure simu ya kichina upate internet. Na siku hizi wana matoleo mapya ni rahisi sana kuconfigure. Nafahamu ukiwa na simcard ya voda ingia kwenye website ya voda omba kuactivate simu yako ya nokia ambayo huijui model yake na watakupa parameters za kuingiza kama Account Name, APN, Homepage, Connection type, Proxy server address na Port.
Kwa upande wa airtel jaza ifuatavyo:
Profile name: Airtel tanzania
Account name: Tanzania airtel
Access Point Name: Internet
Homepage: http://www.tz.airtel.com
Data account:Tanzania airtel
Connection type: HTTP (No proxy)
Auth. type: Normal
Naipata ya airtel baada ya kuingiza parameters hizo. Kama yapo ma account ya uchina yafute na ingiza za tz kama
new accounts kwa vile nafasi inaweza kuwa imejazwa na hizo za kichina na kutokuwezesha kuingiza za tz - ingawa unaweza edit zile za china ku replace za kwetu
Tafadhali lete feedback
Ahsante sana mkuu nimejaribu kwa voda kuna improvement maana saiv naenda mbali zaidi ya google na nyingine zinakubal ila ipo slow sana halafu baada ya muda inaniambia insufficient memory au timeout n.k
Kama upo Dar nenda Zantel HQ pale Msasani. Wanao customer care watundu ambao wameiwezesha mchina ninaotumia sasa kupata full internet. Otherwise, remote setting kwa mchina ni ngumu!!
kwa lain ya zantel?maana kila tukiwapigia wanasema zantel internet haifany kaz kwenye simu za kichina