Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,703
- 3,011
Nina uhakika hili ni jukwaa sahihi kwa tatizo lililo nikuta.
Leo mida ya saa 6 na 15 mchana nili tuma pesa kimakosa, haikufika kwa mlengwa, ilienda kwa mtu tofauti.
Nili jaribu kuwa pigia customer service wa mtandao husika ila nika ambiwa kuwa hela imekwisha tolewa tayari, siwezi ipata tena. Ni Tsh 400,000/=.
Hali ya maisha ni ngumu kwa upande wangu.
Nika jaribu kumpigia aliepokea pesa, alipokea na kusema kwa haraka "Nitakupigia badaye" kisha akakata simu.
Nika jaribu kupiga tena simu haikupatikana mpaka sasa.
Najua humu kuna watu wana jua nisiyo yajua. Kama kuna njia nyingine ya kuipata pesa yangu au kumpata mtu nilie mtumia pesa, please tell me.

_
*_
🤣