Habari wana JF, Mimi napenda kuuliza kwa mfano mtu una sifa za kuwa Assistant lecturer kwa maana ya GPA ya at least 3.8 undergraduate na 4.0 masters ukaamua kutuma CV Yako kwenye Moja ya chuo kikuu kabla ya nafasi hazijatangazwa. Je? Chuo kinaweza kukupa consideration ya kukuita na kukufanyia interview if Kuna uhitaji wa mtu wa masomo Yako?
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.