kutukanwa itukanwe CCM tu na siyo CHADEMA kwanini?

Wahaya wanasema...'embwa keba etakaile mukila teluga mwijiko'.......meaning 'mbwa kama hajaungua mkia huwa haondoki jikoni'......darling wangu Konnie embu tujimuvuzishe level 8 Kempinski aka mmu.
Janaume zima kazi kupenda vitu vyepesi vyepesi tu!!.....MMU ndio mdudu gani?
 
Kwa jeuri kubwa Lusinde anasema yeye amezoea kutumia maneno kama "kudadadeki" hata akiwa kanisani. Well nadhani basi anahitaji counseling (ushauri nasaha). Inawezekana mwenzetu ana matatizo makubwa ya akili
 
kwanza hao clouds ni ccm na kibonde wao,kwanza wanashabikia lema kutukanwa najua wamefurahi sana! na huyu aliyeleta topic ndiye aliyetukana(lusinde). sikutegemea mtu kutoka jukwaa hili kubariki matusi! wange tukanwa magamba pasingetosha kabisa! kunamtu alikuwa anasikiliza clouds xxl akaniita nisikie yani walikuwa wanaitangaza kwa kejeli sana kama ni habari ya kufurahisha!
 
eti neno kudadadeki amekua akitumia hadi kanisani,kanisa gani hilo labda freemanson
 
Naomba nipite tu maana yaliyopo ubongoni kwa sasa nikiyamwaga hapa nitaonekana ni mgonjwa wa uLUSINDE!
Itoshe kusema hii ni thread ya hovyo kuweza kuilinganisha na MAVI!
Sijawah kusoma thread nyngne yoyote hovyo kuliko hii.
 
Kutukana sio siasa!!!
Kwanza niipongeze CCM kwa uzalendo na ukomavu katika Demokrasia sina shaka hii inatokana na kushiriki chaguzi nyingi kidemokrasia...Naipongeza CCM kwasababu imekubali kushindwa kwenye Uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru na kuwaheshimu wananchi waliomchagua Mhe Joshua Nasari kwa ushindi.Rafu nyingi sana zimetendeka kwenye uchaguzi wa Arumeru na matukio mengi ya kikatili yamefanyika...LAKINI TUJIULIZE JE TUITAENDA NA STYLE HII YA VITA KWENYE UCHAGUZI HADI LINI?JE TUNAJENGA?..pili nimrudie mbunge mteule wa MTERA Mhe.Livingstone Lusinde alichokifanya kwenye uchaguzi ni sehemu ya siasa maana siasa ina kejeli na hizi pande mbili zote zimekuwa kama watani wa jadi iweje leo hii lusinde awe gumzo tene baada hata ya uchaguzi..NIWAOMBE TUSHAURI NA TUFANYE MAMBO YENYE KUJENGA PALE UCHAGUZI UNAPOPISHA AMA SIVYO WAAFRIKA HATUTOPIGA HATUA KAMWE MAANA KUMBUKENI WAKATI NYIE WAPAMBE MNAPIGANA KULE NASARI NA LUSINDE WANACHEKA NA KUSHAURIANA BUNGENI..HEBU TUACHE USHABIKI TUJENGE
 
NCHI haijengwi kwa kutukana matusi kama yale tena mbele ya watoto wadogo ambao walikuja na wazazi wao,Na alikuwa anajigamba hapa matusi ndipo yalipo KUDADEKI,KAMA UNATETEA HILI NADHANI NA WEWE UNAMATATIZO YA AKILI KAPIMWE.NINA AAMINI MUNGU AMEANZA KUJIBU MAOMBI YA WATANZANIA KWA KUWAONYESHA UNDANI WA VIONGOZI WAO,NINA IMANI KILA MTU ANACHOKISEMA MDOMONI EITHER ANAKITENDA SANA AU ANATARAJIA KUKITENDA
 
namfananisha Lusinde na mvuta ganja fulani hivi!
maana watu kama hawa wanaongea kwanza ndio wanakujafikiri baadae!
huyu ni lazima aonywe vikali na wakubwa wake ili asije akawaambukiza wenzake tabia mbaya kama hii ya kutukana mbele ya umma!
 
Ndugu zangu
wagogo huyu ndo
mbunge wenu!
Aaah! Ndo maana
mjini wengi mnao
mbaomba! Kumbe
mmemchagua
mbumbumbu
wa matusi!
 
Sikukuzote Tanzania imekuwa na utulivu lakini utulivu huu unazidi kuwekwa rehani na CCM kwa ushirika na jeshi la POLISI pamoja na vyombo vingine vya dola!
 
Back
Top Bottom