Salaam,
Kama taifa, siamini kama tumefeli kuzisimamia kwa ufanisi taasisi zetu, bali tulichofeli ni kushindwa kuwajibishana.
Mataifa yaloendelea, yamefika yalipo, kwa kuwajibishana, bila kujali we nani au una cheo gani.
Kinachosikitisha, ktk taifa letu, tabia ya kutowajibishana inaanzia ngazi za juu, ambapo wanaoharibu hubadilishiwa vyeo, bila kuwajibishwa kwa namna yoyote.
Kama taifa, tungelikua tunawajibishana ipasavyo, kwa sasa DP World usingekua mjadala wa taifa.
Kama taifa, tuache kutafuta suluhu ya tatizo lisilokuwepo, bali tuanze kuwajibishana, ili tuone kama hautapatikana ufanisi ktk taasisi zetu.