Kutowajibishana kumetufikisha DP World

Kutowajibishana kumetufikisha DP World

Salaam,

Kama taifa, siamini kama tumefeli kuzisimamia kwa ufanisi taasisi zetu, bali tulichofeli ni kushindwa kuwajibishana.

Mataifa yaloendelea, yamefika yalipo, kwa kuwajibishana, bila kujali we nani au una cheo gani.

Kinachosikitisha, ktk taifa letu, tabia ya kutowajibishana inaanzia ngazi za juu, ambapo wanaoharibu hubadilishiwa vyeo, bila kuwajibishwa kwa namna yoyote.

Kama taifa, tungelikua tunawajibishana ipasavyo, kwa sasa DP World usingekua mjadala wa taifa.

Kama taifa, tuache kutafuta suluhu ya tatizo lisilokuwepo, bali tuanze kuwajibishana, ili tuone kama hautapatikana ufanisi ktk taasisi zetu.
Sure mafisadi hawaogopi chochote
 
Huku wanateuana ndugu, serikalini kumejaa Kitwete, Makamba, Kinana, Mwinyi, Nauye n.k utawafanya nini hawa hata wakiharibu?
 
Mkuu,
Nadhani umeleta thread ya mwaka, hapa ndipo mzizi wa tatizo ulipo.

Mtu anafanya madudu, anahamishwa ofisi A kwenda B ili ekaendelee kuharibu huko B.

Mtu anafanya maamuzi ya hovyo kuiuza nchi, badae utasikia ana kinga ya kutoshitakiwa.

Watu wanalimbikiza mali kutoka sources hasirleweki, wanafukuzwa kazi bila kuwajibishwa.

Hapa ndipo mzizi wa tatizo letu ulipo, na sio Tanzania tu, ni Africa yote, ndio maana hatuwezi kuendelea.
Siyo kweli S. Africa hawana huu ujinga ndiyo maana Ramaphosa anaitwa polisi anachunguzwa, huku hata DC huwezi kumchunguza
 
Ni kweli lakini angalia katika serikali yetu kuna Kikwete na ndugu zake wangapi, halikadhalika akina Mwinyi na ndugu zao, Makamba na ndugu zao, Nauye na ndugu zao, Kawawa na ndugu zao nk.

Nadhani ni Mkapa na Nyerere tu hawakupandikiza ndugu zao. Ingawa Magufuli pamoja na kwamba hakupandikiza ndugu zake wengi wa damu lakini aliweka watu wengi wa kanda ya ziwa!
Hawa waliona mbali sn, zile koo ulizotaja ni hatari sn zimejaa kila sehemu muhimu
 
Huo unaousema kuomba ama kukopa ni 30% ya bajeti uwekezaji wa bandari tu ukianza kazi hiyo inafutika kabisa kwa kuwa pato litaongezeka ndio maana hili halitaachwa hata ukigaragara barabarani manufaa ni makubwa kuliko hayo mapungufu mnayoyapigia kelele.
HATUTAKI DP KWANINHAKUNA MWEKEZAJI MWINGINE MBONA MMEMNG'ANG'ANIA
 
Do world wako nchi zaidi ya 92..
UK
German
China
Canada...

Kote huko wameshindwa kuwajibishana??

Na ilipokuwepo Ticts....je
Tulikuwa tunawajibishana
Angalia terms za contracts (kwa kila nchi hapo) Mfano China, DP World imeingia partnership na kampuni ya China, sio China

Key point, angalia terms za mkataba, kinachopingwa sio DP World ku operate hapa, ni wana operate kwa terms zipi.

Kama mkataba upo wazi, na terms zipo sawa na zinaingia akilini, kusingekua na huu mzozo/mpasuko/taharuki unayoiona sasa hivi

Ukitumia akili kidogo utagundua tu.
 
Salaam,

Kama taifa, siamini kama tumefeli kuzisimamia kwa ufanisi taasisi zetu, bali tulichofeli ni kushindwa kuwajibishana.

Mataifa yaloendelea, yamefika yalipo, kwa kuwajibishana, bila kujali we nani au una cheo gani.

Kinachosikitisha, ktk taifa letu, tabia ya kutowajibishana inaanzia ngazi za juu, ambapo wanaoharibu hubadilishiwa vyeo, bila kuwajibishwa kwa namna yoyote.

Kama taifa, tungelikua tunawajibishana ipasavyo, kwa sasa DP World usingekua mjadala wa taifa.

Kama taifa, tuache kutafuta suluhu ya tatizo lisilokuwepo, bali tuanze kuwajibishana, ili tuone kama hautapatikana ufanisi ktk taasisi zetu.
Wazo zuri lakini nani amuwajibishe nani ??! Hapo ndipo kwenye shughuli maana hata wakosoaji tu au wale whistle blowers huwa hawapendwi kabisa na huweza wakashughulikiwa wakati mwingine eti kwa kiherehere chao !!!
 
Vyeo vya kupeana wanufaika ni wanafamilia au chain inakuwa inazunguka kwa hao hao wanaojuana ,baba alikuwa raisi ,mtoto waziri ,baadae mtoto anakuwa raisi nae, baadae wajukuu wanashika nchi pia,watu hawashituki tu[emoji2][emoji2]
 
Salaam,

Kama taifa, siamini kama tumefeli kuzisimamia kwa ufanisi taasisi zetu, bali tulichofeli ni kushindwa kuwajibishana.

Mataifa yaloendelea, yamefika yalipo, kwa kuwajibishana, bila kujali we nani au una cheo gani.

Kinachosikitisha, ktk taifa letu, tabia ya kutowajibishana inaanzia ngazi za juu, ambapo wanaoharibu hubadilishiwa vyeo, bila kuwajibishwa kwa namna yoyote.

Kama taifa, tungelikua tunawajibishana ipasavyo, kwa sasa DP World usingekua mjadala wa taifa.

Kama taifa, tuache kutafuta suluhu ya tatizo lisilokuwepo, bali tuanze kuwajibishana, ili tuone kama hautapatikana ufanisi ktk taasisi zetu.
Shida viongozi wenyewe wanavyopatikana! Unafikiri mtu kama Samia anaweza kumwajibisa January? au Nape? hawezi cos zile nafasi kwanza walichagua wao kuwa mimi nataka WIzara ya Nishati hivyo ata afanye madudu gani hawezi kumwajibisha
 
Halijapita kokote Sasha kapanic😁
Hawezi kupanick she is commander in chief and her word is final na yuko busy na majukumu yake ya kila siku hajajifungia ndani na kushughulishwa na hili na pia hata lisipopita kitachofeli ni maslahi ya kuujenga uchumi imara na sisi tutaendelea kuwa ndugu watazamaji wakati dpw wakienda mombasa kenya ila yeye bado ataendelea kuwa president ataakifikia kustaafu ataitwa raisi mstaafu sasa kwa nini apanick eti sababu ni ipi ati zaidi tutakuwa tumejikwamisha wenyewe maana strategically dpw lazima atakuwa na port hapa eac kwa kuwa tayari ameshajenga bandari kavu rwanda na ni uhakika atakapowekeza ndio mzigo wa rwanda utapita na pia anaelekea kujenga drc sasa ni sisi awe kwetu au awe mshindani wetu na akiwa mshindani wetu itakuwa balaa maana tutakumbuka shuka hali kushakuchwa hapo sasa ipi ni best strategy time will tell sijui tutatuma watu wa dini wakaongee biashara na watu wa rwanda sijui tutaongozwa na emotions zaidi au akili, biashara zote kuna kutoa na kupata na sio kupata bila kutoa na ndio strategy zilivyo unaonekana kama unapoteza lakini kumbe unakuja kupata pakubwa.
 
Panic inakuja baada ya kuona wananchi wamegomea dubwasha hili limkataba wakati ashakula kishika uchumba

Kwa taarifa yako hata usingizi hapati
 
Yaani unawasaidizi wapo na wameapa kukulinda na kukutetea with their life halafu ukose usingizi my good friend hizo ni poor politics, ati ukishajua power of the president basi haya mengine unayoongea ni furahisha genge kosoa lia lia lakini mwishowe unamtegemea yeye ndio aamue bahati tu ni muelewa mwana demokrasia , yule aliyepita suala la kivuko kipya kikawa kibovu unakumbuka ubabe aliotumia kusupress na huyu pia nguvu zote anazo ila anaachia uhuru maana taifa likidebate basi hata wao wanapata leverage ya kuwabana wawekezaji vizuri kwenye HGA ,ila tu mkiingilia maslahi ya taifa as defined na wataalamu wake hapo hata cheka na mtu hapo hakuna demokrasia ni kuunleash the power invested kwake na constitution ili kuinforce rule of law remember zile zinaitwa law enforcement agency siku zote rule of law inakuwa enforced haubembelezwi kuifuata unakuwa forced kuobey law
beware ndugu yangu.
 
Kuwa na wasaidizi wa kumlinda hakumfanyi yeye personal asiwe na mawazo na kukosoa usingizi mbona unataka kumfanya rais kwamba sio binadamu kama wewe we vipi?ukweli unabaki pale pale hii issue imemkosesha raha kumekuwa na taharuki na linamgusaa
huoni mpaka kasema ameamua kukaa kimya hivi mnataka kuona nini ili kuamini kwamba hii issue imemkosesha raha na si yeye peke yake hata huyu mzee wa msoga mnaemsifia asubuhi na jioni nae likamkaba akatoka pangoni baada ya tamko la TEC halafu unawakuza hapa kusema ni majabali yasiyotingishika hamna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom