Kutowajibishana kumetufikisha DP World

Kutowajibishana kumetufikisha DP World

Manufaa yatoke wapi wakati pesa itakayozalishwa itakabidhiwa kwa wale wale mchwa wa siku zote ambao wamekula hadi bandari imekosa ufanisi.Atakae neemeka ni mwekezaji,ila mgao wetu shida zitabaki zile zile kwasababu mgao wetu tutajipangia sisi wenyewe wafujaji tusiowajibishana.
Sawa huwapendi ila uwe na kiasi nduhu yangu maana mengi yanafanyika na pia yakighramiwa na hicho kinachopatikana na pia tushukuru kwa hiki kidogo huku tukiweka matumaini ya kikubwa na pia wao hao unaowasema vibaya leo hii nchi imetulia ina amani kwa kuwa wanajitahidi kuiongoza ila haijawa hivyo kwa bahati mbaya na pia bado wanafanya jitihada za kutafuta uwekezaji kama huo ili yote tuweze kujikwamua kutoka hapa tulipo tujenge future bora ya taifa hili kwa vizazi vijavyo na pia ni kweli kwenye wengi wasiowaaminifu pia wanakuwepo wakitokea tuwakumbushe wawajibishwe maana hapa ni kwetu sote hatuna pengine tupapende na pia tupaenzi tutafika tu ,mama atatufikisha.
 
Huo unaousema kuomba ama kukopa ni 30% ya bajeti uwekezaji wa bandari tu ukianza kazi hiyo inafutika kabisa kwa kuwa pato litaongezeka ndio maana hili halitaachwa hata ukigaragara barabarani manufaa ni makubwa kuliko hayo mapungufu mnayoyapigia kelele.
Unakumbuka nyimbo za uchumi wa gesi ?
 
Salaam,

Kama taifa, siamini kama tumefeli kuzisimamia kwa ufanisi taasisi zetu, bali tulichofeli ni kushindwa kuwajibishana.

Mataifa yaloendelea, yamefika yalipo, kwa kuwajibishana, bila kujali we nani au una cheo gani.

Kinachosikitisha, ktk taifa letu, tabia ya kutowajibishana inaanzia ngazi za juu, ambapo wanaoharibu hubadilishiwa vyeo, bila kuwajibishwa kwa namna yoyote.

Kama taifa, tungelikua tunawajibishana ipasavyo, kwa sasa DP World usingekua mjadala wa taifa.

Kama taifa, tuache kutafuta suluhu ya tatizo lisilokuwepo, bali tuanze kuwajibishana, ili tuone kama hautapatikana ufanisi ktk taasisi zetu.
Tatizo liko CCM, mwanzo Chama hiki kilikuwa kizuri hadi Mwinyi, baada ya hapo tukaanza kupata viongozi waliotokana na msaada wa TISS na Polisi, sanduku la kura likakosa maana. CCM iondolewe tupate viongozi waliochaguliwa na watu, vinginevyo hapa kwenye mkwamo hatutoki.
 
Salaam,

Kama taifa, siamini kama tumefeli kuzisimamia kwa ufanisi taasisi zetu, bali tulichofeli ni kushindwa kuwajibishana.

Mataifa yaloendelea, yamefika yalipo, kwa kuwajibishana, bila kujali we nani au una cheo gani.

Kinachosikitisha, ktk taifa letu, tabia ya kutowajibishana inaanzia ngazi za juu, ambapo wanaoharibu hubadilishiwa vyeo, bila kuwajibishwa kwa namna yoyote.

Kama taifa, tungelikua tunawajibishana ipasavyo, kwa sasa DP World usingekua mjadala wa taifa.

Kama taifa, tuache kutafuta suluhu ya tatizo lisilokuwepo, bali tuanze kuwajibishana, ili tuone kama hautapatikana ufanisi ktk taasisi zetu.
Huo ndo mzizi wa hili tatizo ,halaafu raisi anaona maajabu eti kwa nini mataifa mengine kama wachina makapuni yao yapo hadi huku kwetu
 
Huo unaousema kuomba ama kukopa ni 30% ya bajeti uwekezaji wa bandari tu ukianza kazi hiyo inafutika kabisa kwa kuwa pato litaongezeka ndio maana hili halitaachwa hata ukigaragara barabarani manufaa ni makubwa kuliko hayo mapungufu mnayoyapigia kelele.
😁😁bangi hizi
 
Hata wakati mnalazimisha kuhusu bomba la gas mlitoa ahadi hadi wananchi wakujau tutaikuta US. Leo hii bado umeme unakatika hovyo! Na kama huu uwekezaji wa DP World mtaupitisha sio kwa ubora wake, bali ni ili muendelee kulila shamba la bibi.
 
Na hakuna namna yoyote ili tuendelee zaidi ya hii ya kuwajibisha. Tunawe kubinafsisha kila kitu kama anaesimamia ubinafsishaji hawezi kuwajibika na kuwajibisha tusahau kuhusu maendeleo zaidi ya kuendelea kuwa omba omba.
Kuna aliyewajibisha watu akaitwa Mshamba , dikttata ,mara hafuati taratibu na mambo mengine mabaya acha iwe hivyo tu
 
Hivi Samia hili Kombolela Si Alibutue tu....

Ili hiki Kizungumkuti Kiondoke.....

Yaani Achanechane huo Mkataba, Sijui IGA autupe Kwenye Dustin... tuanze Upya..!
Ameshaa kula cha watu ndo kitu kinachomuumiza kichawa ,hela zimetawanywa kila mahala
 
Salaam,

Kama taifa, siamini kama tumefeli kuzisimamia kwa ufanisi taasisi zetu, bali tulichofeli ni kushindwa kuwajibishana.

Mataifa yaloendelea, yamefika yalipo, kwa kuwajibishana, bila kujali we nani au una cheo gani.

Kinachosikitisha, ktk taifa letu, tabia ya kutowajibishana inaanzia ngazi za juu, ambapo wanaoharibu hubadilishiwa vyeo, bila kuwajibishwa kwa namna yoyote.

Kama taifa, tungelikua tunawajibishana ipasavyo, kwa sasa DP World usingekua mjadala wa taifa.

Kama taifa, tuache kutafuta suluhu ya tatizo lisilokuwepo, bali tuanze kuwajibishana, ili tuone kama hautapatikana ufanisi ktk taasisi zetu.
Hii umeongea point sana lakin kweny kuajibishana kunatakiwa watu wote tupende nchi yetu pamoja na tujue namna ya maendleo ya watu kwa ujumla, watu mfano tz kuajibishna ni kugum san maan bado hatujawa na muamko
 
Salaam,

Kama taifa, siamini kama tumefeli kuzisimamia kwa ufanisi taasisi zetu, bali tulichofeli ni kushindwa kuwajibishana.

Mataifa yaloendelea, yamefika yalipo, kwa kuwajibishana, bila kujali we nani au una cheo gani.

Kinachosikitisha, ktk taifa letu, tabia ya kutowajibishana inaanzia ngazi za juu, ambapo wanaoharibu hubadilishiwa vyeo, bila kuwajibishwa kwa namna yoyote.

Kama taifa, tungelikua tunawajibishana ipasavyo, kwa sasa DP World usingekua mjadala wa taifa.

Kama taifa, tuache kutafuta suluhu ya tatizo lisilokuwepo, bali tuanze kuwajibishana, ili tuone kama hautapatikana ufanisi ktk taasisi zetu.
Ni kweli kabisa,kama hivi.
Screenshot_20230820-162643.jpg
 
Hata wakati mnalazimisha kuhusu bomba la gas mlitoa ahadi hadi wananchi wakujau tutaikuta US. Leo hii bado umeme unakatika hovyo! Na kama huu uwekezaji wa DP World mtaupitisha sio kwa ubora wake, bali ni ili muendelee kulila shamba la bibi.
Ni ukweli taifa lilipitia kipindi kigumu kinyume na matarajio yetu.
 
Do world wako nchi zaidi ya 92..
UK
German
China
Canada...

Kote huko wameshindwa kuwajibishana??

Na ilipokuwepo Ticts....je
Tulikuwa tunawajibishana
unamaanisha DP world ndo watatibu tatizo letu la kutowajibishana au hukuielewa mada?
 
Kuna aliyewajibisha watu akaitwa Mshamba , dikttata ,mara hafuati taratibu na mambo mengine mabaya acha iwe hivyo tu
ubaya wa magufuli ulisababishwa na kuyaendea pupa mambo bila kufuata utaratibu, hata huko duniani wanawajibishana kwa kufuata utaratibu na si kutumia nguvu.
 
Mkuu,
Nadhani umeleta thread ya mwaka, hapa ndipo mzizi wa tatizo ulipo.

Mtu anafanya madudu, anahamishwa ofisi A kwenda B ili ekaendelee kuharibu huko B.

Mtu anafanya maamuzi ya hovyo kuiuza nchi, badae utasikia ana kinga ya kutoshitakiwa.

Watu wanalimbikiza mali kutoka sources hasirleweki, wanafukuzwa kazi bila kuwajibishwa.

Hapa ndipo mzizi wa tatizo letu ulipo, na sio Tanzania tu, ni Africa yote, ndio maana hatuwezi kuendelea.
 
Back
Top Bottom