Kutowajibishana kumetufikisha DP World

Kutowajibishana kumetufikisha DP World

Kuwa na wasaidizi wa kumlinda hakumfanyi yeye personal asiwe na mawazo na kukosoa usingizi mbona unataka kumfanya rais kwamba sio binadamu kama wewe we vipi?ukweli unabaki pale pale hii issue imemkosesha raha kumekuwa na taharuki na linamgusaa
huoni mpaka kasema ameamua kukaa kimya hivi mnataka kuona nini ili kuamini kwamba hii issue imemkosesha raha na si yeye peke yake hata huyu mzee wa msoga mnaemsifia asubuhi na jioni nae likamkaba akatoka pangoni baada ya tamko la TEC halafu unawakuza hapa kusema ni majabali yasiyotingishika hamna kitu kama hicho
Anayekosa usingizi anaongea kwa utulivu wa hali ya juu ktk hotuba zake zote na kuendelea na majukumu yake ya kila siku kwa hamasa ,endelea kujipa moyo mwenzio yeye yuko imara political ,social ,psychological and spiritualy na majority support anayo mlitaka apate isolation au ajiisolate ili kuwe na ombwe hiyo nafasi hajawapa kwa kweli na kwa hilo mmekwama sana sema pia anapata somo jinsi gani ya kuishi na watu na kuelewa tofauti zao na kujuwa kuna aina za watu watakuwa na nongwa tu hata uwafanyie nini hata uwaeleze vipi hivyo ni kuwanyamazia tu inawatosha wala huhitaji kuhangaika nao zaidi ya kuangalia maslahi makuu ya kiuchumi na kufuta bajeti tegemezi kwa taifa ili tuwe na financially independent govt inayoweza kujifinance 100% yenyewe hatua ya kwanza then kutake off kwa kuwa na surplus bajeti.
 
Juzi KKKT alikuwa hana utulivu wowote jazba na hasira zilisomeka kwenye uso na matamshi yake acheni kusifia ujinga.

Watu wenye IQ zao walihisi anataka kususa 😁
 
Alikuwa calm kupitiliza sijui hizo IQ ni za maokoto ya wapi hakuna siku tumemsikia vizuri akiwa mtulivu kama ile hotuba yake na ameitendea vyema ile hotuba yake pale alipotakiwa kuyasema maneno kwa msisitizo na ukali ameyaongea hivyo tena kwa sauti ya kimamlaka kabisa na kuhakikisha ujumbe aliotaka ufike umefika na umeupata na hakika umeupata hakuna shaka ktk hilo kuwa ujumbe umefika.
 
Hakuna lolote uchawa na kujikomba kunawasumbua tu

Alitingishika tangia Shoo alipomwambia akayafanyie marekebisho maoni waliyotoa,kulikuwa hakuna ujumbe wowote wa maana wa kunifikia pale sipokeagi jumbe za mipasho mambo ya misuli sijui nguvu za nini kwenye rasilimali za waTanganyika kama Bandari
 
Ukiona hivyo ujumbe umekufikia sawasawa.
 
Kama tamko la TEC lilivyowafikia nyie mkaanza kutapatapa mara udini na siasa mara misuli nguvu😁yani mmejua kuhaha na leo naskia sheikh alhad kaongea tende na harua kazidi kuonyesha mlivyokuwa hamko timamu yani mlikuwa mnasubiri TEC waweke msimamo mkurupuke huko kujibu hamjui kama mnatakiwa kuwa na akili kujibu watu waloenda shule
 
Imeshatangazwa kuwa inatosha nami nasema inatosha kila la kheri.
 
Back
Top Bottom