Kutongoza!

Kwani wazee walijua ndo maana baadhi ya makabila yalikuwa ya nanyanyua mzigo ukiletazakuta unaminywa sehemu ukitanua kidogo kitu kimetitia!!Hawakuwa na mda wakutongoza busy mashambani akikutaka anakununulia chupi mpya kwakuwa anajua hiyo uliyovaa anaenda kuchana!
 
Mnunulie chips mayai, akila tu ujue kakubali!!
 
vitendo gani sasa?? kumkumbatia bila ridhaaa ahaaahaaa utaaribu
 
Sijawahi kutöngoza, huwa natongoza. Mke niliye naye nilitafutiwa na wazazi. Ila nadhani hilo neno ni muhimu likiambatana na vitendo.
 
kwa hiyo maneno na vitendo eti eeee
 
Nafikiri kama nitakua cjakosea vitendo ni kwa mabint zaidi ila maneno ni kwa wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…