Kutongoza!

Kutongoza!

Kwani wazee walijua ndo maana baadhi ya makabila yalikuwa ya nanyanyua mzigo ukiletazakuta unaminywa sehemu ukitanua kidogo kitu kimetitia!!Hawakuwa na mda wakutongoza busy mashambani akikutaka anakununulia chupi mpya kwakuwa anajua hiyo uliyovaa anaenda kuchana!
 
vitendo gani sasa?? kumkumbatia bila ridhaaa ahaaahaaa utaaribu
 
Sijawahi kutöngoza, huwa natongoza. Mke niliye naye nilitafutiwa na wazazi. Ila nadhani hilo neno ni muhimu likiambatana na vitendo.
 
Nafikiri kama nitakua cjakosea vitendo ni kwa mabint zaidi ila maneno ni kwa wanaume
 
Back
Top Bottom