Kutongoza!

Kutongoza!

malipula

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
324
Reaction score
122
Hivi ni lazima ukimpenda mtu umwambie kwamba 'i love u',vitendo si vinatosha?
 
sie wasukuma tuna sema moyo wangu umeku dondokea...
 
Mi huwa nasema wazi kabisa...........................
Mi domo zege, kila kitu malizia mwenyewe kisha unikubali.
 
Hivi ni lazima ukimpenda mtu umwambie kwamba 'i love u',vitendo si vinatosha?

Kwa jinsia ya "she" usiposema hivyo hawaamini hata kama vitendo vyako vinasema hivyo. Mimi binafsi sihitaji mtu aniambie "I love you" kwani vitendo vinaongea ukweli zaidi ya maneno ambayo mara nyingu hujaa unafiki tu. Ukianza kuambiwa "I love U" jua kuna mzinga unakuja muda siyo mrefu.
 
Sisi WAHA wa Kigoma ni mji lakini Tabora ni chiboko tuna sema mugolegole ndakusha channe.
 
Kaaazi kweli kweli...na wale ambao moyo unaangukia ndio kina nani?
 
Kwa jinsia ya "she" usiposema hivyo hawaamini hata kama vitendo vyako vinasema hivyo. Mimi binafsi sihitaji mtu aniambie "I love you" kwani vitendo vinaongea ukweli zaidi ya maneno ambayo mara nyingu hujaa unafiki tu. Ukianza kuambiwa "I love U" jua kuna mzinga unakuja muda siyo mrefu.

Jina lako nani tena????
 
hUnamwambia tu naomba mechi ya kirafiki kazi kwisney!
 
Ni kweli vitendo huongea zaidi kuliko maneno lakini kuna muda neno nakupenda humsisimua yule anayetamkiwa na kumfanya ajisikie kuwa ni wa muhimu sana ila si vyema ukawa unalitumia mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom