Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,446
- 29,856
Ndo mambo ya Dunia kuwa kama Kijiji...
Hata mimi nikitongozwa kwenye simu naona unaniogopa na sikukubali mpaka uniambie live
Siku hz kwa mwenye ufahamu anajua n nyakat gan. niwakat wa mwsho sana Wajinga wazid kuendelea vbya wajanja tuna mrudia MUNGU
siku hizi binti ukimwomba namba tu anajua unachotaka ukifika nyumbani ashaanza kukutext et umefika salama wangu Hapo unabaki kuandaa ratiba ya kumgegeda michepuko haiwezi isha
Kuna mtindo ulikuwa unaitwa ngwara AKA mtama ulitumika sana vichakani
ha ha ha.....
niliwahi kumtongoza Aneth kwa saa 4. ila mimi kilieleweka.
Labda aliyejkatia tamaa mtonoze Lara1 uone kama utamsukuma kama mlevi
Zamani bana kulikuwa hamna simu wala nini, nilikuwaga naogopa kutongoza mno nikikutana na binti nimpendae roho itanidunda weee kama nataka kupigwa risasi hata kusema nashindwa naishia kupiga porojo tu! Au tulikuwa tukiandika barua enzi hizo:
Salamu sana kwako dada mpendwa, Mara ooh nakupenda kama sukari, nikinywa maji nakuona kwenye kikombe.
Halafu mwisho unamalizia naomba jibu!
Haaahaaa zamani bana.
Siku hizi simple mnakutana kwenye sherehe au msibani au kwenye daladala unaomba tu namba ya simu, ukishafika home tu unamtext nimekupenda na mchezo kwisha mnapanga na siku ya kuonana kugegedana!
Duuuh jamani!
.
Natamani iwe kama zamani
ha ha ha.....
niliwahi kumtongoza Aneth kwa saa 4. ila mimi kilieleweka.