mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,334
- 12,466
Ni tag kwenye huo uzi alioomba atongozwe ,,ili niwe na ushahidi na ikipita wiki mje kumuulza bibieBwashee humuwezi FaizaFoxy, tuliza komwe 😂
Ni tag kwenye huo uzi alioomba atongozwe ,,ili niwe na ushahidi na ikipita wiki mje kumuulza bibieBwashee humuwezi FaizaFoxy, tuliza komwe 😂
Emajin et dem anataka goal mbili kwa 50 hivi wanatuchukuliaje et kisa maokotoTunza kibunda chako
Sisi tunazungumzia mwanamke anaejielewa Kama wewe na sio akina zuwena wa shika tuondokeMnadanganyana tu hapa. Malaya ua khaba unamtongoza nini?
Mwanamke akishaamuwa kuufanya mwili wake ndiyo kiwanda chake kuna kutongoza hapo? Hapo kuna wateja wangapi tu alionao.
Kwenye biashara, kuna namna nyingi za biashara na unaiendesha vipi. Kuna who;esellers, kuna retailers, kuna major accounts, kuna targeted marketing. Kwa ufupi kuna kila aina na kila namna za kuifanya biashara.
Kuna anaeuza Rolls Royce na kuna anaeuza kibajaji, vyote vyombo vya usafiri lakini vina wayeja wake na namna zke.
Mwenye rolls Royce au Bentley anaweza kupanda kibajaji au bodaboda na akavipenda sana na kuvitumia mara kwa mara kuliko rolls Royce yake.
Mwanamme hata uwe mtongozaji vipi, bila turufu bure tu.
"Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza".
😂😂😂🔩Sisi tunazungumzia mwanamke anaejielewa Kama wewe na sio akina zuwena wa shika tuondoke
Wajinga kweliEmajin et dem anataka goal mbili kwa 50 hivi wanatuchukuliaje et kisa maokoto
Yaani from no where tuu, uanze kumake sexual joxes.Kumshawishi mwanawake huwa ni simple and effortless....
make sexual jokes, touch her, escalate her....ukicheza vizuri na hizo banter hutakaa ukamkosa mwanamke yeyote unayemtaka.
ni kweli hauwezi ukakurupuka tu kuleta sexual jokes.....Yaani from no where tuu, uanze kumake sexual joxes.
Lazima ujenge mazingira kwnza.
😂😂😂😂Wajinga kweli
Yap ndo maana yake.
Nani yupo nimtongozeYap ndo maana yake.
Hapo mtaani kwako hakuna mademu?Au mdomo zege?Nani yupo nimtongoze
Apa mtaani naona masklepa tu wanajiskia hao alafu usiku tunakutana kitambaa cheupe mnyanduoni duh😂Hapo mtaani kwako hakuna mademu?Au mdomo zege?
Haaaa sawa mamdogoYap ndo maana yake.
Umeshatolewa nishai na FaizaFoxy hakika humuwezi kwa sababu hujui kutongoza, na nimesoma ulivyo anza hadi ulipoishia nikabaki kucheka tuNi tag kwenye huo uzi alioomba atongozwe ,,ili niwe na ushahidi na ikipita wiki mje kumuulza bibie


😄😄😄🥱Umeshatolewa nishai na FaizaFoxy hakika humuwezi kwa sababu hujui kutongoza, na nimesoma ulivyo anza hadi ulipoishia nikabaki kucheka tu![]()
Umeshatolewa nishai na FaizaFoxy hakika humuwezi kwa sababu hujui kutongoza, na nimesoma ulivyo anza hadi ulipoishia nikabaki kucheka tu![]()



Ila humu Jf kuna vimbwanga htr😄😄🥱