Wengine ukiongea nao, majibu yao tu yanaonyesha kama ana vuta bangi au mlevi kwa majibu yake tu,
Na hapo ni pale mwanzomwanzo tu wa story je mkiendelea na story kweny ile stage ya kushusha vocal si ataanza kuongea kama ana mapepo vile, yann yote hayo bora uonekane domo zege kwa kutunza heshima yako sio kuharibiana cv mchana, mchana wakati huo mtu nwenyewe unae mtongoza kwa kukuangalia tu hana mbele wala nyuma,
Kila anapoitwa anaenda..upumbav gan huo bhana alaaaaah...
Let them get the hell far from us...
The way they cust bad to us is the way they curse them selves and become a budden to their entire life.
Napambana na hali yangu bhana mapenzi baadae.