Kutongoza na Kuonana Kimwili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutongoza na Kuonana Kimwili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Safari_ni_Safari, Dec 19, 2011.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Yanayo tupasa kufanya wakati wa kutongozana. Imeandikwa, Warumi 13:13 "Kama ilivyohusika na mchana na tuenende kwa adabu si kwa ulafi na ulevi si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu."

  Tunapo tongozana, tusije tuka onana kimwili. Imeandikwa, 1Wakorintho 6:13, 18, "Vyakula ni vya tumbo, na tumbo ni kwa vyakula lakini Mungu atavitowesha vyote viwili tumbo na vyakula lakini mwili si kwa zinaa...(18) bali kwa Bwana naye Bwana ni kwa mwili. Ikimbieni zinaa, kila dhambi aitendayo mwanadamu ni inje ya mwili wake ila yeye afanyaye zinaa hufanya juu ya mwili wake mwenyewe."Jeweke safi. Imeandikwa, 1Yohana 3:3 "Na kila mwenye matumaini haya, katika yeye hujitakasa kaa yeye alivyo mtakatifu."

  Tusije tukaumia sharti weka tamaa ya zinaa mbele za Bwana. Imeandikwa, 1 Wathesalonike 4:3-5 "Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kutakaswa kwenu muepukane na uasherati kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima. Sikatika hali ya tama mbaya kama mataifa wasio mjua Mungu."Je kama umekwisha zini ufanye je? Kwanaza kubali kuwa umefanya dhambi. Imeandikwa, Zaburi 51:2-4 "Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhambi zangu maana niejua mimi makosa yangu na dhambi yangu imbele zangu daima. Nime kutenda dhambi wewe peke yako na kufanya maovu mbele za macho yako wewe ujulikane kuwa una haki unenapo. na kuwa safi utoapo hukumu."

  Pili omba msamaha wa dhambi zako. Imeandikwa, Zaburi 51:7-12 "Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi unioshe nami nitakuwa mweupe kuliko theluji unifanye kusikia furaha na shangwe mifupa ulioiponda ifurahi usitiri uso wako uzitazame dhambi zangu uzifute hatia zangu zote Ee Mungu uniumbie moyo safi uifanye upia roho iliyotulia ndani yangu, usinitenge na uso wako wala roho yako mtakatifu usiniondolee unirudishie furaha ya wokovu wako unitegemeze kwa roho ya wepesi."

  Latatu, Amini kuwa Mungu amekusamehe dhambi zako. Imeandikwa, Zaburi 32:1-6 "Heri aliye samehewa dhambi na kusitiri makosa yake, Heri Bwana asiyemhesabia upotovu. Ambaye mwoyoni mwake hamna hila niliponyamaza mifupa yangu ilichakaa kwa kuugua kwangu mchana kutwa kwa maana mchana na usiku mkono wako ulinilemea jasho langu likakauka hata nikawakama nchi kavu wakati wa kaskazi Nalikujulisha dhambi zangu wala sikukufisha upotovu wangu nalisema nitayari maasi yangu kwa Bwana nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu kwa hiyo kila mtu mtauwa akuombe wakati unapopatikana hakika maji makuu ya furikapo hayata mfikie yeye."
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Asante kwa kutukumbusha ujumbe huu hasa katika kipindi hiki cha wiki ya Noeli
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Eimen!
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Hivi ili mtu awe amezini ni mpaka awe na mke/mume au hata kabla?Maana kwenye maandiko walioelezewa kama mfano walikua kwenye ndoa.Halafu ndoa hizo sijui zilifungwa wapi maana sijaona walioenda kwenye masinagogi au hekaluni kufunga ndoa!
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  haya tumekuelewa
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Mtulie sasa
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Amen , wiseman and man of God!
   
 8. v

  valid statement JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Biblia ina theme zote mle.
   
 9. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hapa m2 anasoma kama kawa game kama doz
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  senki yuu
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu ungekapeleka kule kwa kina buchanan na maxshimba kangenoga kweli..
   
 12. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,125
  Trophy Points: 280
  Asante kwa ujumbe murua. Ubarikiwe na Bwana.
   
 13. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Mjulishe na Excellent shemeji
   
 15. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bwana akubariki mtumishi wa Mungu kwa kutukumbusha kuwa tunatakiwa kumheshimu Mungu kwani ndiye aliyetuumba.
  Mwenye masikio amesikia
  Aaameen
   
 16. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuonana kimwili maana yake nini hebu fafanua hapo mimi sijaelewe, wengine tumesoma shule za st. rwakatare
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Imeandikwa, 1Wakorintho 6:13, 18, "Vyakula ni vya tumbo, na tumbo ni kwa vyakula lakini Mungu atavitowesha vyote viwili tumbo na vyakula lakini mwili si kwa zinaa...(18) bali kwa Bwana naye Bwana ni kwa mwili. Ikimbieni zinaa, kila dhambi aitendayo mwanadamu ni inje ya mwili wake ila yeye afanyaye zinaa hufanya juu ya mwili wake mwenyewe."
   
 18. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  VIKO VITU VIWILI TUNATAKIWA TUVITOFAUTISHE, NAVYO NI KAMA IFUATAVYO
  1. KUZINI/UZINZI
  hii inafanywa na watu walioa tu, kwani anaacha mke/mme na kwenda kujamiana na mwanaume ambaye sio wake, huo ndio uzinzi. Pia hata akifanya na mtu amabye hajaoa au hajaolewa wakati yeye ameoa nayo ni uzinzi kwake

  2. uasherati
  hii inafanywa sana na boyfriend na girlfriend, yaani ni kwa watu wale ambao hawajaolewa au hawajaoa wanapojamiana na watu wengine, wanahesabika wanafanya uasherati

  tunaweza kuishinda dhambi hii kwa kutubu dhambi na kuokolewa
  kumbuka mathayo 1.21, luka 1.77 yesu alikuja kuokoa wandamu wakiwa duniani na wokovu unaletwa kwa kusamehewa dhambi zao

  ukificha dhambi hautaokoka mithali28.13, mithali 21.8 wote wenye dhambi wataingia motoni

  tuokoke ili tuwe na sifa ya kuingia mbinguni zbr 16.3

  nawakaribisha katika wokovu na jamii ya nuru
   
 19. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  na-edit

  uasherati kifupi ni kujamiana kwa watu wasiooa wala kuolewa

  hii ni dhambi kubwa na wasipookoka wataangamia
   
Loading...