Kutongoza mpaka uzeeni?

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Eti ni umri gani inabidi tuachane na mambo ya kutongoza. Hii "kazi" ni lini mtu inabidi kustaafu?

 
Huyo binti ana shida ya fedha kidogo. Kwani hamja wazoea hao?
 
Mbona iyo nikawaida tu sema wengi wanapotezea.Mi ninaushuhuda kibao na niwa LIVE Bila Chenga
 
................anti amepozi kwenda kuchuna hela ya huyo mzee anayeonekana kama mlinzi wa Ultimate
 
Hii natural professional bwana inaisha pale maisha yanapofika tamati. God crete a man to control the world.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…