hehehe mpaka unavua mwenyewe
Umemeza yote je ukiulizwa maswali tofauti na hayo si itabidi utafute mistari yako mwenyewe sasa au tayari unayo?Da! We acha tu nimeimeza yote xaxa nsha anza ku test matunda ni makubwa
Kuna nini tena figganigga?.miaHahahahaaaa....!!!.nmechekajee!!??. CC: Lady doctor, Chocs. mia
Nini hiyo?siyo hayo tu,hujawahi kupewa maneno mpaka ukaloanisha?
Kuna nini tena figganigga?.mia
...aaah wapi wewe!! hamnaga hiyoKwa hizo verse huchomoki. Mia
Nini hiyo?
Inamaana huamini neno la Mungu?. mia...aaah wapi wewe!! hamnaga hiyo
siyo hayo tu,hujawahi kupewa maneno mpaka ukaloanisha?
hahaaa!!mi napenda swaganingekuupiga hakika usingechomoka aiseee...
shansarie hivi mi nilikupa za aje?
nakumbuka sana ulivyonizungusha...