Kutongoza kwa kutumia wallets

tukiwapa pesa et hatujiamini mala domo zege n.k tusipowapa tunaitwa DUME SURUALI!! ama kweli hamueleweki
 
tukiwapa pesa et hatujiamini mala domo zege n.k tusipowapa tunaitwa DUME SURUALI!! ama kweli hamueleweki
Kama kweli wewe ni mwanaume usitangulize pesa kujipima ubavu
 
Mbona wadada hamueleweki?? Unamkuta mdada kashikwa mkono njiani, ukimwangalia aliyemshika mkono na hali ya uso wa bidada unajua wazi kuwa huyu, si lolote wala chochote bali ni wallet imemuweka hapo. Anajifanya kuangalia kushoto ati asijikwae kumbe yu karibu kutaapika kwa kumbukumbu za uso wa limjamaa. Kweli, Pesa sabuni ya roho. monicca, acha kuwazodoa wenzio. Hata hyo wako upo kwake kwa sababu ya wallet.
 
Kwa wanawake wa siku hizi bila hela unajisumbua bule hata na utunge verse za aina gani hela ina nafasi kubwa sana ili ule ppch kwa haraka
 
Mbona wengine sijatumia Pesa kuwatongoza yani Inategemea na Mwanamke tuu Mwanaume Kujiamini
 
Mkuu umebugi mno
 
Hawa viumbe huwezi kuwaelewa miaka trilioni 10000000900000000099999999999999999909000000 yaani koote kote wapo chaaaaa
 
Mkuu umebugi mno

Hayupo awezaye kukubali kuwa ni mwizi hata ahukumiwapo. Hivyo hata weye hutakubali bali twajua hivyo. Ngoja siku aje home mikono mitupu akikugusa tu, nywele zinasimama
 
Domo ZEGE alafu ANAMADEMU wengi. .
Eeeee. ..
Hiii CHAI ngumu KUMESA
 
Chukulia poa tu. Siku hiz kupigwa chini ni kawaida tu, usianze kumsimanga jamaa humu hautabadilisha chochote. Kaa utulie, kunywa maji then subiri waongeaji bila hela watakufuata.
NB:Money can't buy love but it increases man's bargaining position.
 
Pole mkuu naona nimekugusa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…