Inamaana usipokuwa na pesa unalala doroo?Unataka hela au unataka maneno ya kutongozwa?
Wanawake mbona hamueleweki, mnataka pesa au mnataka mbembelezwe na maneno matamu ya kutongozwa?
Sisi tusiotaka usumbufu wa maneno mengi tunaamua kuua mende kwa bunduki, no woman is strong against money,money talks.
Nina pesa tena niendelee kuongea, sasa pesa kazi yake nini? Tunaacha pesa iongee.
Unarudi kukumbushia makoloni yako.Inamaana usipokuwa na pesa unalala doroo?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja ninywe maji kwanza mmmmh!!Wakuachwa ntakuwa mie? Waniangalia kwa wasi wasi mkuu?
Hujanijibu bibieWewe unaonaje?
dem mwenyew wa kawaid km mwasiti halaf kelele kibao;wach wenge!Wakuachwa ntakuwa mie? Waniangalia kwa wasi wasi mkuu?