Yanapatikana wapi mkuu?Tatizo dogo tu ilo ni P.I.D hiyo na Dawa za kuondoa tatizo kabisa zipo Mkuu, Kuna magome ya kuweka kwenye maji ya moto kwenye chombo ambacho ataweza kukalia akiwa uchi kwa wastani wa dk 15 tu ule mvuke uingie vizuri ndani ya wiki tu kwisha