Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Aman ya Muumba wa mbingu na nchi iwe nanyi wadau.
Nina shida kidogo ningependa kushea nanyi ili mnipatie ushauri na pengine kutatua tatizo hili.
Nina mke wangu ana ujauzito wa miezi 4 kwa sasa, ila amekuwa akitokwa na uchafu mweupe kama maziwa ya mgando ndani ya uke.
Anajichokonoa mpaka ndani kwa kunawa ila bado hauishi. Kabla ya kuwa na mimba tatizo kama hili halikuwepo,tafadhali nakaribisha ushauri na hata utatuzi wa changamoto hii.
Naomba kuwasilisha