Kutokwa na manii baada ya kuuona mtihani katika chumba cha mtihani

mwalukuni mchanyato

JF-Expert Member
May 15, 2013
404
230
Ndugu zangu hivi huu ni ugonjwa gani?

Nina rafiki yangu nilikuwa naishi nae hostel moja chuoni.Rafiki yangu wa karibu haswa.Siku moja akanisimulia tatizo lililokiwa linamsumbua.Aliniambia,"Mara nyingi nikiwa kwenye chumba cha mtihani "lecturer" akipita kugawa mtihani na kuturuhusu tuanze kujaza kijitabu cha kujibia,nikimaliza nikianza pirika za kujibu maswali tu huwa natokwa na manii au kujikojolea mkojo kidogo.

Sasa swali akasema,je,ni ugonjwa? Mm kwa ufaham wangu nilishindwa kumjibu.Sasa ndugu zangu humu tupo na madokta na wazoefu katika kukabiliana na matatizo ya kiafya ya binadamu.

Naomba jibu au kama ni hali ya kawaida,pia mnitaarifu nimtoe hofu rafiki yangu.
 
Anatokwa manii hasa au mkojo kidogo?Mkojo kidogo ni kawaida kama mtu amepatwa na mshtuko au woga, lakini si manii(sperm).
 
Ishawahi nitokea ndani ya chumba cha mtihani nikiambiwa muda umebaki dk 5 nilianza kuwa na hofu mikono inatetemeka na mwisho naskia Utamu na manii ikanitoka
 
Back
Top Bottom