Unaweza kunifafanulia ili nipate mwanga kiasi?!
mpe maziwa kama amekunywa kwa bahati mbaya.kama kanywa mwenyewe acha kuharibia watu mipango yao
Mbona roho chachu ivi unamwacha mtu anakufa, duh!mpe maziwa kama amekunywa kwa bahati mbaya.kama kanywa mwenyewe acha kuharibia watu mipango yao
Haina ndiyo maana unayoMmh. Hiyo sumu haina madhara kwenye mwili wa binadamu? Au mpaka ikutane na sumu nyingine ndio inaleta madhara?
Karibu mkuuDuh. Nilikuwa sifahamu. Nashukuru kwa kunijuza
Kumbe tuna sumu kama nyoka?Tumboni kuna sumu ukiweka nyingine inaleta reaction ambayo inaproduce joto linalopelekea kuchemka
Ndiyo mkuuKumbe tuna sumu kama nyoka?