Kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Deo Filikunjombe amuumbua Stella Manyanya

Wakati mzee mamvi anajiuzulu alsema shida kubwa uwaziri mkuu hivyo akaamua kujiuzulu wakat mama mmoja wa same mashariki mishipa ilimtoka kwel kwel vp kilango shda ilikuwa uwaziri mkuu
 
Mwaka jana kwenye bunge la bajeti siku Waziri Kaghasheki alipohitimisha bajeti ya Wizara yake kulikuwa na wachangiaji wengi. Siku hiyo neno "maandamano" lilitawala mijadala.

Mnakumbuka hadi Attorney-General akasema uangaliwe uwezekano wa ku-regulate maandamano.
Mmoja wa wachangiaji wa asubuhi ya siku hiyo alikuwa ni Mheshimiwa Deo Filikunjombe. Filikunjombe alichangia kwa hisia na hadi akalitangazia Bunge kuwa matakwa ya jimbo lake yasipotimizwa basi licha ya yeye kuwa mwana-CCM atawahimiza wananchi wa jimbo lake kufanya maandamano.

Mchangiaji wa mwisho kabla ya lunch break alikuwa Stella Manyanya. Alipoinuka tukadhani kuwa Manyanya ana mengi ya kuchangia kuhusu hoja iliyo mezani. Kumbe yeye hoja yake ilikuwa ni sentensi moja tu nayo ni kuhusu kauli aliyotoa Filikunjombe asubuhi.

Namnukuu Manyanya aliposema hivi "Huyu Deo Filikunjombe akumbuke kuwa maandamano siyo sera ya CCM, lakini akikaidi na kuendelea na hayo maandamano yake, basi asisahau kuwa mimi ni kiongozi wake katika NEC"
Kwa kauli kama ile ni kama Stella Manyanya alikuwa kama amemkata kilomolomo Filikunjombe kwa mambo kama haya. Ungetegemea kwamba Filikunjombe asingeibuka tena kwenye jambo lolote kubwa kwani NEC aliyomo Manyanya ni ileile yenye maamuzi mengi ndani ya CCM ikiwemo kuchagua wagombea ubunge wapya.

Lakini naamini kwa mshangao wa Manyanya na wengine wengi, sasa Deo Filikunjombe kaja na gia kubwa zaidi. Kubwa zaidi kwa maana ya kwamba maandamo aliyodhamiri kule jimboni ni kitu kidogo sanakuliko kitendo alichofanya sasa hivi.
Filikunjombe amenukuliwa akikiri kwamba ni mmoja wa wabunge waliohisiwa kuwa watasaini kwenye list ya Zitto ya kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.

Yeye alivyoitwa alijua atashawishiwa ili asisaini. Ili kuwamaliza nguvu na kuwaonyesha kuwa sasa hajali litakalotokea basi akaamua kwanza aweke saini ndipo aende huko walikomwita.

Maana yake ni nini? Maana yake anaitwa ofisini mwa mawaziri huku tayari saini yake imeshaanguka karatasini.
Kingine ni kwamba ni mmoja wa wabunge wachache ambao wameamua kusaini huku wakipigwa picha ziende gazetini. Sasa, hapo utasema nini kwa mtu kama huyu Filikunjombe ambaye mlimkataza maandamano lakini sasa ameamua kushiriki kitu kikubwa zaidi tena ulimwengu ukimshuhudia.

Maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba sasa hivi huwezi kumtisha kwamba NEC-CCM ndiyo inayochagua wabunge mwaka 2015. Analijua hilo na inaelekea yuko tayari kwa lolote. Labda tu sasa atishiwe uhai wake na kama itafanyika hivyo.

Kwa maana hiyo, enzi za mbinu kama za Stella Manyanya za kutishiana kuwa "utanitambua kwenye NEC" si tishio tena, kwani sasa hivi NEC si yao tu, nchi sasa ina NEC nyingi tu na zina nguvu kubwa kwa umma.

Pole sana Stella Manyanya na pole wote waliozoea kudhani tishio la rungu la chama ni dawa ya kuwa-discpline wabunge hata kwa kinachoonekana dhahiri ni maslahi ya taifa.

Taifa linahitaji watu kama Deo Filikunjombe, ujasiri wako unahitajika popote ama hukohuko CCM lakini ikishindikana uko milango ya dunia iko wazia kwako.
Very well analysed mkuu
 
Well said mkuu!

mheshimiwa deo hana sababu hata moja ya kuogopa ccm akiacha inchi inatafunwa kwasababu ukimfukuza ccm anakubalika CDM kwa kiasi kikubwa na ukimtisha uhai kwa alichokifanya mpaka sasa hata akifa atakufa na sifa ya uzalendo kwa inchi yake na kama unamtishia ubunge wanaichi hawachagui chama wanachagua mtu makini kama yeye hivo hata akigombea kwa chama ambacho kinambunge mmoja ndani ya bunge bado atashinda kizuri zaidi hata watakaomtishia uhai ni kuwa hata wao watakufa tena na sifa mbaya kama ni hivo kunasababu gani ya kuogopa Kwa mtu ambaye ni mwanamapinduzi
 
Hizi post nyengine jamani, huku si kutaka kufitinishana na kuchochea ugomvi jamani ?

Sikutunga kilichomo kwenye post yangu. Soma Hansard ya Bunge la Budget mwaka jana kama ndiyo kwa mara ya kwanza matukio haya yanatua kwenye masikio yako.
 
Engineer Stella ... !! I am very sorry to say, honestly this was very LOW to be reported coming from your own mouth ... I might add its injustice .. "Huyu Deo Filikunjombe akumbuke kuwa maandamano siyo sera ya CCM, lakini akikaidi na kuendelea na hayo maandamano yake, basi asisahau kuwa mimi ni kiongozi wake katika NEC"
 
wengine wanataka maamuzi yenye results palepale, lakini maamuzi ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ni mbegu na kujua kumbe tukiamua inawezekana. pamoja na kuwa idadi ya wabunge, waliosaini ni wachache lakini wamefanya hivyo kwa ajili ya wengi, WATANZANIA kwa hiyo waliosaini wana kundi kubwa kuliko wailioamua kutosaini.
 
Alipokuwa kwenye ile kamati ya bunge ya richmond tulimuona kama shujaa lakini hakuna hovyo kama huyu mama, uzuri sasa wananchi wanaelewa pumba ni zipi na mchele ni upi, tumeshamuweka kwenye trash atulie tu majibu kamili na u-nec atayaona 2015.
 
Mwaka jana kwenye bunge la bajeti siku Waziri Kaghasheki alipohitimisha bajeti ya Wizara yake kulikuwa na wachangiaji wengi. Siku hiyo neno "maandamano" lilitawala mijadala.Mnakumbuka hadi Attorney-General akasema uangaliwe uwezekano wa ku-regulate maandamano.Mmoja wa wachangiaji wa asubuhi ya siku hiyo alikuwa ni Mheshimiwa Deo Filikunjombe. Filikunjombe alichangia kwa hisia na hadi akalitangazia Bunge kuwa matakwa ya jimbo lake yasipotimizwa basi licha ya yeye kuwa mwana-CCM atawahimiza wananchi wa jimbo lake kufanya maandamano.Mchangiaji wa mwisho kabla ya lunch break alikuwa Stella Manyanya. Alipoinuka tukadhani kuwa Manyanya ana mengi ya kuchangia kuhusu hoja iliyo mezani. Kumbe yeye hoja yake ilikuwa ni sentensi moja tu nayo ni kuhusu kauli aliyotoa Filikunjombe asubuhi.Namnukuu Manyanya aliposema hivi "Huyu Deo Filikunjombe akumbuke kuwa maandamano siyo sera ya CCM, lakini akikaidi na kuendelea na hayo maandamano yake, basi asisahau kuwa mimi ni kiongozi wake katika NEC"Kwa kauli kama ile ni kama Stella Manyanya alikuwa kama amemkata kilomolomo Filikunjombe kwa mambo kama haya. Ungetegemea kwamba Filikunjombe asingeibuka tena kwenye jambo lolote kubwa kwani NEC aliyomo Manyanya ni ileile yenye maamuzi mengi ndani ya CCM ikiwemo kuchagua wagombea ubunge wapya.Lakini naamini kwa mshangao wa Manyanya na wengine wengi, sasa Deo Filikunjombe kaja na gia kubwa zaidi. Kubwa zaidi kwa maana ya kwamba maandamo aliyodhamiri kule jimboni ni kitu kidogo sanakuliko kitendo alichofanya sasa hivi.Filikunjombe amenukuliwa akikiri kwamba ni mmoja wa wabunge waliohisiwa kuwa watasaini kwenye list ya Zitto ya kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.Yeye alivyoitwa alijua atashawishiwa ili asisaini. Ili kuwamaliza nguvu na kuwaonyesha kuwa sasa hajali litakalotokea basi akaamua kwanza aweke saini ndipo aende huko walikomwita.Maana yake ni nini? Maana yake anaitwa ofisini mwa mawaziri huku tayari saini yake imeshaanguka karatasini.Kingine ni kwamba ni mmoja wa wabunge wachache ambao wameamua kusaini huku wakipigwa picha ziende gazetini. Sasa, hapo utasema nini kwa mtu kama huyu Filikunjombe ambaye mlimkataza maandamano lakini sasa ameamua kushiriki kitu kikubwa zaidi tena ulimwengu ukimshuhudia.Maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba sasa hivi huwezi kumtisha kwamba NEC-CCM ndiyo inayochagua wabunge mwaka 2015. Analijua hilo na inaelekea yuko tayari kwa lolote. Labda tu sasa atishiwe uhai wake na kama itafanyika hivyo.Kwa maana hiyo, enzi za mbinu kama za Stella Manyanya za kutishiana kuwa "utanitambua kwenye NEC" si tishio tena, kwani sasa hivi NEC si yao tu, nchi sasa ina NEC nyingi tu na zina nguvu kubwa kwa umma.Pole sana Stella Manyanya na pole wote waliozoea kudhani tishio la rungu la chama ni dawa ya kuwa-discpline wabunge hata kwa kinachoonekana dhahiri ni maslahi ya taifa.Taifa linahitaji watu kama Deo Filikunjombe, ujasiri wako unahitajika popote ama hukohuko CCM lakini ikishindikana uko milango ya dunia iko wazia kwako.
Hayo yalikuwa ni maneno ya mh anna abdalah kwenda kwa filikunjombe deo na sio stellah manyanya.na ikumbukwe kuwa anna abdalah ndiye kiongozi wa nec-ccm na siyo manyanya ambaye ni mbunge na mjumbe wa nec-ccm,ni hayo tu.
 
Engineer Stella ... !! I am very sorry to say, honestly this was very LOW to be reported coming from your own mouth ... I might add its injustice .. "Huyu Deo Filikunjombe akumbuke kuwa maandamano siyo sera ya CCM, lakini akikaidi na kuendelea na hayo maandamano yake, basi asisahau kuwa mimi ni kiongozi wake katika NEC"

Soma mwenyewe hansard ya July 29, 2011 ushuhudie alichosema Stella Manyanya kwenye link ifuatayo ya Bunge:

{www.parliament.go.tz/POLIS/PAMS/Docs/HS-4-36-2011.pdf}
 
hizi post nyengine jamani, huku si kutaka kufitinishana na kuchochea ugomvi jamani ?

Wewe kweli ni mtu wa pwani tena ****** alafu wewe!! Haya mawazo yenu ya kikwekwere si yaishie huko Magogoni ndio una*****ngwa nyuma.
 
Hayo yalikuwa ni maneno ya mh anna abdalah kwenda kwa filikunjombe deo na sio stellah manyanya.na ikumbukwe kuwa anna abdalah ndiye kiongozi wa nec-ccm na siyo manyanya ambaye ni mbunge na mjumbe wa nec-ccm,ni hayo tu.

Soma mwenyewe hansard ya July 29, 2011 ushuhudie alichosema Stella Manyanya kwenye link ifuatayo ya Bunge:

{www.parliament.go.tz/POLIS/PAMS/Docs/HS-4-36-2011.pdf}
 
Safi sana, Hata baba wa taifa mwalimu Nyerere alipotaka kuikomboa tz aliamua kujitoa mhanga kwa kujiuzulu kazi yenye mshahara mzuri, hata wewe jamii inakuona na itakuenzi kwa ujasiri wako wa kujitoa mhanga ili kukomboa taifa kutoka mikononi mwa mafisadi wanaojiita magamba. Huko ndiko kujivua gamba kunakohitajika.
 
Filikunjombe karibu cdm tuendeleze mapinduzi. najua watakunyanyasa sana hao magamba, lakini Mungu atakutia nguvu. Hakika umejipambanua nao. huo ndo moyo wa uzalendo.


Jamani hii issue ya Filikunjombe tusiiweke kisiasa zaidi, huyu bwana huko huko alipo,kwa moyo huu alio onyesha aungwe mkono na vyama vyote vya upinzani, wasipompitisha , agombee chama chochote na vyama vyote vya upinzani vimuunge mkono! Ameonyesha wanafiki wote CCM kuwa kwa mambo yenye maslahi ya kitaifa, politiki inawekwa pembeni!! Big Up Filikunjombe!!
 
Jamani hii issue ya Filikunjombe tusiiweke kisiasa zaidi, huyu bwana huko huko alipo,kwa moyo huu alio onyesha aungwe mkono na vyama vyote vya upinzani, wasipompitisha , agombee chama chochote na vyama vyote vya upinzani vimuunge mkono! Ameonyesha wanafiki wote CCM kuwa kwa mambo yenye maslahi ya kitaifa, politiki inawekwa pembeni!! Big Up Filikunjombe!!

Kwa wasiofahamu, Filikunjombe ni wale wapiganaji na watetezi kutoka Mkoa Mpya wa Njombe wilaya ya Ludewa ambao ni
  1. Horace Kolimba
  2. Matias Kihauli
  3. Mchungaji Mtikila
  4. Deo Filikunjombe Haule

Ukanda huo huo kutokea Nyasa upande wa Mkoa wa Ruvuma kusini ambako sasa ni wilaya ya Nyasa ndani ya mwambao wa ziwa Nyasa alitokea Mwanasia Maarufu Marehemu
Oscar Kambona ambaye kwa wakati huo alionekana ni msaliti, lakini kwa siasa na maoni ya ulimwengu wa leo angekuwa mlengo mmoja na Akina Filikunjombe.


HISTORIA NI MWALIMU
 
hizi post nyengine jamani, huku si kutaka kufitinishana na kuchochea ugomvi jamani ?

Fitna na majungu ni huko kwenu Pwani, sisi Bara tunakandamiza kwa nguvu, hatukopeshi tunakupa live bila chenga
Ukweli lazima usemwe. Mtajiju
 
Back
Top Bottom