kutokutoka jasho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kutokutoka jasho

Discussion in 'JF Doctor' started by Kiresua, Jul 20, 2011.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wanajamii, pongezi kwa kazi za kila siku. jamani nina muda sasa karibu miaka 4, huwa sitoki jasho hata nikipanda milima wakati wa jua kali. natoka jasho jembamba ambalo hata tisheti hailowi. niliona poa tu lakin rafiki yangu akaniambia nina tatizo. lakini ajabu ni kwamba nikiwa kwenye chumba chenye joto, kama nikiwa dar wakati wa joto, huwa mpaka nachuruzika jasho. mfano nimefyeka sana leo lakin wapi bwana, jasho chamtoto. nakunywa maji hadi lita 2 kwa siku, ila si siku zote. naona maji yanaweza yasiwe sababu kwani sijampunguz kunywa maji.naombeni msaada wa kitabibu kama ni pore space zimeziba nazifumuaje. asanteni wajameni
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  uko normal tu
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Upo kama mjusi. Nasikia mjusi hatokagi jasho.
   
 4. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  hahaha Hausniyo, kama niko kama mjusi, nifanyeje! I lov jf.
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mhh we jaman usimwambie ivo mwenzako....
  mpe tba..ushauri...dah nimecheka et km mjus..
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mmmh!!
  Kazi ipo!
   
 7. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Hebu nenda kazunguke uwanja wa mpira mara 10 hivi usipotoka jasho rudi tena hapa.
   
Loading...