Kutokulala Nyumbani

Kutokulala Nyumbani

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani,

Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.

kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
 
Una kipato kizuri?! Je una uraibu either wa pombe au wanawake?
Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
 
Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
Pamba kwako, weka fenicha nzuri kama za huko unapotamani kulala. Case closed
 
PIMBI...naomba picha ya huyo mnyama tafadhali
IMG-20250816-WA0001.jpg
 
Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
Ok
unakunywa pombe ?? JE unavuta bangi??

Jibu then TUENDELEEE na mada
 
Back
Top Bottom