Kutokuiweka Taifa Stars kambini kwa angalau mwezi na kuipa mechi za majaribio tumevuna tulichokitaka

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,043
Hakika Ni ukweli usiopingika kuwa Wizara inapaswa KUWAOMBA RADHI watanzania kwa Matokeo ya AIBU ya TAIFA STARS kufungwa BAO 3-0 na MOROCCO Leo.Watanzania walijitoa kwa hali na Mali na Kuchangia BIL.3.7 kwa ajili ya TAIFA STARS.

SERA mbovu za WIZARA ya MICHEZO kumeifanya TAIFA STARS isiwekwe KAMBINI japo kwa Miezi 2 ili kujiandaa na haya MASHINDANO Makubwa na Magumu kwani TIMU SHIRIKI zina Wachezaji Wakubwa na zimejiandaa vizuri kuliko TAIFA STARS.

Huwezi kuleta SIASA kwenye MICHEZO ukatarajia USHINDE badala ya kuiandaa na KUIWEKA TIMU Kambini na kuipa MICHEZO mingi ya Kujipima Uwezo na Nchi zilizofanikiwa kimpira.

Leo unaipa TAIFA STARS mechi 2 za Majaribio na kambini imekaa wiki 2 halafu utarajie Kupata USHINDI hizo ni NDOTO. Leo tumevuna tulichokitaka.

Bado CONGO na ZAMBIA Tusubiri.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni zao la uharibifu wa Waandishi wa habari na wachambuzi.

Hivi kama kweli huna majeraha ya akili unaweza kuilaumu au kushangaa taifa stars kufungwa na morrocco?

Hivi nyie mnaishi dunia ya wapi jamani au mna pretend au sijui hamtafuti taarifa.
 
Hakika Ni ukweli usiopingika kuwa Wizara inapaswa KUWAOMBA RADHI watanzania kwa Matokeo ya AIBU ya TAIFA STARS kufungwa BAO 3-0 na MOROCCO Leo.Watanzania walijitoa kwa hali na Mali na Kuchangia BIL.3.7 kwa ajili ya TAIFA STARS.

SERA mbovu za WIZARA ya MICHEZO kumeifanya TAIFA STARS isiwekwe KAMBINI japo kwa Miezi 2 ili kujiandaa na haya MASHINDANO Makubwa na Magumu kwani TIMU SHIRIKI zina Wachezaji Wakubwa na zimejiandaa vizuri kuliko TAIFA STARS.

Huwezi kuleta SIASA kwenye MICHEZO ukatarajia USHINDE badala ya kuiandaa na KUIWEKA TIMU Kambini na kuipa MICHEZO mingi ya Kujipima Uwezo na Nchi zilizofanikiwa kimpira.

Leo unaipa TAIFA STARS mechi 2 za Majaribio na kambini imekaa wiki 2 halafu utarajie Kupata USHINDI hizo ni NDOTO. Leo tumevuna tulichokitaka.

Bado CONGO na ZAMBIA Tusubiri.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Taifa stars kwa maoni yangu wamejitahidi sana wamecheza na timu ya Kwanza kwa ubora Africa na Huwa inashiriki kombe la dunia
 
Hakika Ni ukweli usiopingika kuwa Wizara inapaswa KUWAOMBA RADHI watanzania kwa Matokeo ya AIBU ya TAIFA STARS kufungwa BAO 3-0 na MOROCCO Leo.Watanzania walijitoa kwa hali na Mali na Kuchangia BIL.3.7 kwa ajili ya TAIFA STARS.

SERA mbovu za WIZARA ya MICHEZO kumeifanya TAIFA STARS isiwekwe KAMBINI japo kwa Miezi 2 ili kujiandaa na haya MASHINDANO Makubwa na Magumu kwani TIMU SHIRIKI zina Wachezaji Wakubwa na zimejiandaa vizuri kuliko TAIFA STARS.

Huwezi kuleta SIASA kwenye MICHEZO ukatarajia USHINDE badala ya kuiandaa na KUIWEKA TIMU Kambini na kuipa MICHEZO mingi ya Kujipima Uwezo na Nchi zilizofanikiwa kimpira.

Leo unaipa TAIFA STARS mechi 2 za Majaribio na kambini imekaa wiki 2 halafu utarajie Kupata USHINDI hizo ni NDOTO. Leo tumevuna tulichokitaka.

Bado CONGO na ZAMBIA Tusubiri.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Timu ya taifa haiwezi kukaa kambini mwezi mzima.
Timu ya taifa siyo ya kwenda kujifunza mpira
 
Miezi miwili kambini kujiandaa ili iweje, kwani wachezaji walikuwa likizo kusema kwamba walikuwa hawachezi kwenye ligi zao za club.?

Tanzania haijawahi kupata ushindi hata mara moja kwenye AFCON then mnakuja kuleta visingizio hapa.

Tulieni muendelee kula vipigo kwenye mechi zote mbili zilizobakia.
 
Hakika Ni ukweli usiopingika kuwa Wizara inapaswa KUWAOMBA RADHI watanzania kwa Matokeo ya AIBU ya TAIFA STARS kufungwa BAO 3-0 na MOROCCO Leo.Watanzania walijitoa kwa hali na Mali na Kuchangia BIL.3.7 kwa ajili ya TAIFA STARS.

SERA mbovu za WIZARA ya MICHEZO kumeifanya TAIFA STARS isiwekwe KAMBINI japo kwa Miezi 2 ili kujiandaa na haya MASHINDANO Makubwa na Magumu kwani TIMU SHIRIKI zina Wachezaji Wakubwa na zimejiandaa vizuri kuliko TAIFA STARS.

Huwezi kuleta SIASA kwenye MICHEZO ukatarajia USHINDE badala ya kuiandaa na KUIWEKA TIMU Kambini na kuipa MICHEZO mingi ya Kujipima Uwezo na Nchi zilizofanikiwa kimpira.

Leo unaipa TAIFA STARS mechi 2 za Majaribio na kambini imekaa wiki 2 halafu utarajie Kupata USHINDI hizo ni NDOTO. Leo tumevuna tulichokitaka.

Bado CONGO na ZAMBIA Tusubiri.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Ile timu hata uweke kambini miaka miwili ni bure. Jamani ni hivi: soka linaanza kufundishwa tangu udogoni. Kwa nini serikali inashindwa kuanzisha soccer academy hata tatu tu kwa nchi nzima? Wanaingia watoto wenye miaka 9-10, wanasoma masomo ya kawaida na main course iwe ni mpira. Pia wafufue mashindano ya shule za msingi ambako ndiko watavuna watoto wa kujiunga na hizo academy.
 
Hakika Ni ukweli usiopingika kuwa Wizara inapaswa KUWAOMBA RADHI watanzania kwa Matokeo ya AIBU ya TAIFA STARS kufungwa BAO 3-0 na MOROCCO Leo.Watanzania walijitoa kwa hali na Mali na Kuchangia BIL.3.7 kwa ajili ya TAIFA STARS.

SERA mbovu za WIZARA ya MICHEZO kumeifanya TAIFA STARS isiwekwe KAMBINI japo kwa Miezi 2 ili kujiandaa na haya MASHINDANO Makubwa na Magumu kwani TIMU SHIRIKI zina Wachezaji Wakubwa na zimejiandaa vizuri kuliko TAIFA STARS.

Huwezi kuleta SIASA kwenye MICHEZO ukatarajia USHINDE badala ya kuiandaa na KUIWEKA TIMU Kambini na kuipa MICHEZO mingi ya Kujipima Uwezo na Nchi zilizofanikiwa kimpira.

Leo unaipa TAIFA STARS mechi 2 za Majaribio na kambini imekaa wiki 2 halafu utarajie Kupata USHINDI hizo ni NDOTO. Leo tumevuna tulichokitaka.

Bado CONGO na ZAMBIA Tusubiri.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom