Kutokufikishwa kileleni Kunakusababishia mood mbaya ewe mwanamke

siyo kweli kabisa kuwa kufanya ngono ndiyo kunamfanya mwanamke awenamood nzuri . Huu ni ujanja wakuhamasisha wanawake wakubali kufanya ngono maranyingi zaidi na wanaume wapate wanawake wakuzini nao kwa urahisi.kama ni kweli unamaana wanawake wanao jiuza na kuafanya ngono zaidi ya mara tano kwa siku wana mood nzuri kuliko wanawake ambao wanajiheshimu ambao hufanya tendo la ndoa kwa mpangilio kama mara moja kwa siku au maramoja kwa week. acha uongo wako

We cjui unaongea nn, anyway lkn ni mawazo pia
 
Back
Top Bottom