MwanaPekee
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 382
- 385
Mara nyingi nimekuwa nikiawaangalia viongozi wangu wa CHADEMA na hasa ngazi ya Taifa na kushindwa kuwaelewa kabisa namna wanavyoshughulikia mambo ambayo kimsingi yana maslahi kwa chama. Wamekuwa very disorganized. Kwa sasa ile nguvu ya chama as chama haionekani na badala yake imekuwa kama kila kiongozi anafanya mambo yake as long as yanamletea sifa yeye mwenyewe binafsi. Ikitokea mtu huyo akaacha kulisimamia jambo hilo basi huoni tena watu wengine wakilisemea kwa maslahi mapana ya chama. Nitatoa mifano:
Kuhama madiwani Arusha (Steering: Nassari na Lema)
Kimsingi issue hiyo ilikuwa na maslahi mapana kabisa ya chama, lakini unaona ngazi ya Taifa seems as if they don’t care. Ni Nassaari na Lema tu ndo wanaonekana kulikomalia sana. Mie nilidhani baada ya kupata ushahidi CDM taifa wangesimamia show mpaka kieleweke lakini kwa sasa hata huwaoni.
Issue ya Lissu (Steering: Mbowe)
Mbowe hataki kabisa mtu mwingine azungumzie suala la Lissu hata kama ni Mtendaji Mkuu kama vile SG. CDM ni taasisi kubwa hivyo taarifa hizo zingeweza kuwasilishwa hata na Katibu Mkuu lakini as long as mtu anataka popularity anazuia mtu yeyote kujihusisha na hilo.
Aidha kuna mambo mengi ambayo alikuwa akiyasimamia Lissu. Tangu aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana, mambo hayo hayazungumzwi tena na chama. Inaonekana kama hakuna mambo yanayosimamiwa na chama ngazi ya Taifa. Kiongozi yeyote anaweza kuliamsha dude na akalisimamia mwenyewe hadi mwisho.
Ubinafsi, wivu, kutaka sifa binafsi, na uchu wa madaraka kwa baadhi viongozi waandamizi wa chama ni tatizo kubwa sana. Kwa utaratibu huu sidhani kama CDM itashindana na CCM kwa kuwa wana nguvu nyingi na utaratibu unaoeleweka kutoka ngazi ya chini hadi Taifa. Upinzani wataendelea kuwa wasindikizaji tu kila mara, na CCM watatawala milele yote. Ikiwa kunakuwa na ubinafsi kiasi hiki basi wasiwalalamikiwe wale wanaokihama chama na kwenda CCM au vyama vingine.