Kutokana na sababu hii, CHADEMA inasambaratika na CCM inainuka

Manpower opposed brainpower

The Gashelagaritwasi must fall 2020
 
Mara nyingi nimekuwa nikiawaangalia viongozi wangu wa CHADEMA na hasa ngazi ya Taifa na kushindwa kuwaelewa kabisa namna wanavyoshughulikia mambo ambayo kimsingi yana maslahi kwa chama. Wamekuwa very disorganized. Kwa sasa ile nguvu ya chama as chama haionekani na badala yake imekuwa kama kila kiongozi anafanya mambo yake as long as yanamletea sifa yeye mwenyewe binafsi. Ikitokea mtu huyo akaacha kulisimamia jambo hilo basi huoni tena watu wengine wakilisemea kwa maslahi mapana ya chama. Nitatoa mifano:

Kuhama madiwani Arusha (Steering: Nassari na Lema)

Kimsingi issue hiyo ilikuwa na maslahi mapana kabisa ya chama, lakini unaona ngazi ya Taifa seems as if they don’t care. Ni Nassaari na Lema tu ndo wanaonekana kulikomalia sana. Mie nilidhani baada ya kupata ushahidi CDM taifa wangesimamia show mpaka kieleweke lakini kwa sasa hata huwaoni.

Issue ya Lissu (Steering: Mbowe)

Mbowe hataki kabisa mtu mwingine azungumzie suala la Lissu hata kama ni Mtendaji Mkuu kama vile SG. CDM ni taasisi kubwa hivyo taarifa hizo zingeweza kuwasilishwa hata na Katibu Mkuu lakini as long as mtu anataka popularity anazuia mtu yeyote kujihusisha na hilo.

Aidha kuna mambo mengi ambayo alikuwa akiyasimamia Lissu. Tangu aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana, mambo hayo hayazungumzwi tena na chama. Inaonekana kama hakuna mambo yanayosimamiwa na chama ngazi ya Taifa. Kiongozi yeyote anaweza kuliamsha dude na akalisimamia mwenyewe hadi mwisho.

Ubinafsi, wivu, kutaka sifa binafsi, na uchu wa madaraka kwa baadhi viongozi waandamizi wa chama ni tatizo kubwa sana. Kwa utaratibu huu sidhani kama CDM itashindana na CCM kwa kuwa wana nguvu nyingi na utaratibu unaoeleweka kutoka ngazi ya chini hadi Taifa. Upinzani wataendelea kuwa wasindikizaji tu kila mara, na CCM watatawala milele yote. Ikiwa kunakuwa na ubinafsi kiasi hiki basi wasiwalalamikiwe wale wanaokihama chama na kwenda CCM au vyama vingine.
kama hiyo haitoshi yaani wanaboa sana siku hizi..kila siku kwenye vyombo vya habari kulalamika kwa matukio ya kutengeneza wenyewe...leo utasikia huyu kafatiliwa na kesho utasikia yule anafatiliwa ujinga mtupu...sasa wewe ufatiliwe huna hata nyumba wenye makampuni hawafatiliwi...tuache mambo ya kipuuzi
 
Kanituma nije kuwachonganisha viongozi wa CDM? Mbona wanaonekana wamelala hata katika issue nyeti?
Tofauti yako na viongozi wa Chadema ni kiwango cha uelewa wa mambo yanavyoenda. Tofauti yako na viongozi wa Chadema ni uelewa wa ku communicate issues katika mazingira gani na kwa wakati gani! Umesikia tangazo la NEC la marudio ya uchaguzi kwenye kata? Jiandae kufanya research kwenye hizo chaguzi uione hatari ya 2020! Think big!
 
chadema ni genge la wasanii,leo wameita waandishi kila mtu anaongea lake analojisikia kuongea,chama hakitoki na sauti moja
 
Ikulu haina mwenye nayo ni kila mwenye uwezo wa kuwepo pale lakini uwezo huo usiwe wa kusukumizana! Hata wewe waweza kaa mle kikolomijekolomije!
Kama kweli Ikulu haina mwenyenayo mbona miaka yote hii zaidi ya hamsini, kati ya Watanzania wote zaidi ya millioni sabini wameingia huko watu watano tu?
 
Mara nyingi nimekuwa nikiawaangalia viongozi wangu wa CHADEMA na hasa ngazi ya Taifa na kushindwa kuwaelewa kabisa namna wanavyoshughulikia mambo ambayo kimsingi yana maslahi kwa chama. Wamekuwa very disorganized. Kwa sasa ile nguvu ya chama as chama haionekani na badala yake imekuwa kama kila kiongozi anafanya mambo yake as long as yanamletea sifa yeye mwenyewe binafsi. Ikitokea mtu huyo akaacha kulisimamia jambo hilo basi huoni tena watu wengine wakilisemea kwa maslahi mapana ya chama. Nitatoa mifano:

Kuhama madiwani Arusha (Steering: Nassari na Lema)

Kimsingi issue hiyo ilikuwa na maslahi mapana kabisa ya chama, lakini unaona ngazi ya Taifa seems as if they don’t care. Ni Nassaari na Lema tu ndo wanaonekana kulikomalia sana. Mie nilidhani baada ya kupata ushahidi CDM taifa wangesimamia show mpaka kieleweke lakini kwa sasa hata huwaoni.

Issue ya Lissu (Steering: Mbowe)

Mbowe hataki kabisa mtu mwingine azungumzie suala la Lissu hata kama ni Mtendaji Mkuu kama vile SG. CDM ni taasisi kubwa hivyo taarifa hizo zingeweza kuwasilishwa hata na Katibu Mkuu lakini as long as mtu anataka popularity anazuia mtu yeyote kujihusisha na hilo.

Aidha kuna mambo mengi ambayo alikuwa akiyasimamia Lissu. Tangu aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana, mambo hayo hayazungumzwi tena na chama. Inaonekana kama hakuna mambo yanayosimamiwa na chama ngazi ya Taifa. Kiongozi yeyote anaweza kuliamsha dude na akalisimamia mwenyewe hadi mwisho.

Ubinafsi, wivu, kutaka sifa binafsi, na uchu wa madaraka kwa baadhi viongozi waandamizi wa chama ni tatizo kubwa sana. Kwa utaratibu huu sidhani kama CDM itashindana na CCM kwa kuwa wana nguvu nyingi na utaratibu unaoeleweka kutoka ngazi ya chini hadi Taifa. Upinzani wataendelea kuwa wasindikizaji tu kila mara, na CCM watatawala milele yote. Ikiwa kunakuwa na ubinafsi kiasi hiki basi wasiwalalamikiwe wale wanaokihama chama na kwenda CCM au vyama vingine.

Eti hii nayo ni thread!Anayewalipa buku 7 kwa thread za aina hii atakuwa amebemendwa akili.
 
Running out of ideas
 
Mbona una washwa washwa wewe hivyo... ati eeehh... Wee tulizana tuu.. Soon utaelewa watanzania tumechoka na fisiem.. Jipangee tuu bwege mkubwa wee
 
Hovyo kabisa,umeonyesha jinsi ulivyokuwa na fikra nyepesi kwa yote uliyoyaandika.Natoa mfano mmoja tu wa fikra nyepesi,ni pale uliposema Mbowe hataki mtu mwingine aongee.Hivi kila mtu akiongea halafu taarifa rasmi itatoka wapi? Hata familia ya Lisu yupo msemaji rasmi wa mambo ya Lisu,ili kuepusha mkanganyiko wa taarifa,pia serikali makini nayo hufanya hivyo.Lakini hali ni tofauti kwa misukule,kila mtu anaongea lake.Ifahamike kuwa misukule yote haina critical thinking.
 
Mara nyingi nimekuwa nikiawaangalia viongozi wangu wa CHADEMA na hasa ngazi ya Taifa na kushindwa kuwaelewa kabisa namna wanavyoshughulikia mambo ambayo kimsingi yana maslahi kwa chama. Wamekuwa very disorganized. Kwa sasa ile nguvu ya chama as chama haionekani na badala yake imekuwa kama kila kiongozi anafanya mambo yake as long as yanamletea sifa yeye mwenyewe binafsi. Ikitokea mtu huyo akaacha kulisimamia jambo hilo basi huoni tena watu wengine wakilisemea kwa maslahi mapana ya chama. Nitatoa mifano:

Kuhama madiwani Arusha (Steering: Nassari na Lema)

Kimsingi issue hiyo ilikuwa na maslahi mapana kabisa ya chama, lakini unaona ngazi ya Taifa seems as if they don’t care. Ni Nassaari na Lema tu ndo wanaonekana kulikomalia sana. Mie nilidhani baada ya kupata ushahidi CDM taifa wangesimamia show mpaka kieleweke lakini kwa sasa hata huwaoni.

Issue ya Lissu (Steering: Mbowe)

Mbowe hataki kabisa mtu mwingine azungumzie suala la Lissu hata kama ni Mtendaji Mkuu kama vile SG. CDM ni taasisi kubwa hivyo taarifa hizo zingeweza kuwasilishwa hata na Katibu Mkuu lakini as long as mtu anataka popularity anazuia mtu yeyote kujihusisha na hilo.

Aidha kuna mambo mengi ambayo alikuwa akiyasimamia Lissu. Tangu aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana, mambo hayo hayazungumzwi tena na chama. Inaonekana kama hakuna mambo yanayosimamiwa na chama ngazi ya Taifa. Kiongozi yeyote anaweza kuliamsha dude na akalisimamia mwenyewe hadi mwisho.

Ubinafsi, wivu, kutaka sifa binafsi, na uchu wa madaraka kwa baadhi viongozi waandamizi wa chama ni tatizo kubwa sana. Kwa utaratibu huu sidhani kama CDM itashindana na CCM kwa kuwa wana nguvu nyingi na utaratibu unaoeleweka kutoka ngazi ya chini hadi Taifa. Upinzani wataendelea kuwa wasindikizaji tu kila mara, na CCM watatawala milele yote. Ikiwa kunakuwa na ubinafsi kiasi hiki basi wasiwalalamikiwe wale wanaokihama chama na kwenda CCM au vyama vingine.
Hahahaaa sura mpya miguu ya zamani

Name:MwanaPekee
Joined:Yesterday
Status: multiple ID's

Previous ID's: 1. *******,2.******,3.******,
New ID: MwanaPekee
No.of New ID "4"

Messages of New ID :11
Likes Received From new ID:8
Trophy Points:5

Kazi mnayo aisee.
 
mtu anaandika ushuzi na anajiaminisha watanzania ni maaahira wa kiwango chake !!
 
kwa siasa sa awamu ya tano CDM inapita wkt mgumu mno lkn bado wako imara na ndo chama cha upinzan kilichobaki nanguvu CDM bado iko imara japokua inafanyiea figisu figusu za kila aina

uimara wa CDM utajulikana 2020 kama uchaguz utakua huru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom