Kutokana na sababu hii, CHADEMA inasambaratika na CCM inainuka

MwanaPekee

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
382
385
Mara nyingi nimekuwa nikiawaangalia viongozi wangu wa CHADEMA na hasa ngazi ya Taifa na kushindwa kuwaelewa kabisa namna wanavyoshughulikia mambo ambayo kimsingi yana maslahi kwa chama. Wamekuwa very disorganized. Kwa sasa ile nguvu ya chama as chama haionekani na badala yake imekuwa kama kila kiongozi anafanya mambo yake as long as yanamletea sifa yeye mwenyewe binafsi. Ikitokea mtu huyo akaacha kulisimamia jambo hilo basi huoni tena watu wengine wakilisemea kwa maslahi mapana ya chama. Nitatoa mifano:

Kuhama madiwani Arusha (Steering: Nassari na Lema)

Kimsingi issue hiyo ilikuwa na maslahi mapana kabisa ya chama, lakini unaona ngazi ya Taifa seems as if they don’t care. Ni Nassaari na Lema tu ndo wanaonekana kulikomalia sana. Mie nilidhani baada ya kupata ushahidi CDM taifa wangesimamia show mpaka kieleweke lakini kwa sasa hata huwaoni.

Issue ya Lissu (Steering: Mbowe)

Mbowe hataki kabisa mtu mwingine azungumzie suala la Lissu hata kama ni Mtendaji Mkuu kama vile SG. CDM ni taasisi kubwa hivyo taarifa hizo zingeweza kuwasilishwa hata na Katibu Mkuu lakini as long as mtu anataka popularity anazuia mtu yeyote kujihusisha na hilo.

Aidha kuna mambo mengi ambayo alikuwa akiyasimamia Lissu. Tangu aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana, mambo hayo hayazungumzwi tena na chama. Inaonekana kama hakuna mambo yanayosimamiwa na chama ngazi ya Taifa. Kiongozi yeyote anaweza kuliamsha dude na akalisimamia mwenyewe hadi mwisho.

Ubinafsi, wivu, kutaka sifa binafsi, na uchu wa madaraka kwa baadhi viongozi waandamizi wa chama ni tatizo kubwa sana. Kwa utaratibu huu sidhani kama CDM itashindana na CCM kwa kuwa wana nguvu nyingi na utaratibu unaoeleweka kutoka ngazi ya chini hadi Taifa. Upinzani wataendelea kuwa wasindikizaji tu kila mara, na CCM watatawala milele yote. Ikiwa kunakuwa na ubinafsi kiasi hiki basi wasiwalalamikiwe wale wanaokihama chama na kwenda CCM au vyama vingine.
 
Ubinafsi, wivu, kutaka sifa binafsi, na uchu wa madaraka kwa baadhi viongozi waandamizi wa chama ni tatizo kubwa sana. Kwa utaratibu huu sidhani kama tutashindana na CCM kwa kuwa wana nguvu nyingi na utaratibu unaoeleweka kutoka ngazi ya chini hadi Taifa. Tutaendelea kuwa wasindikizaji tu kila mara, na CCM watatawala milele yote. Ikiwa kunakuwa na ubinafsi kiasi hiki basi tusiwalalamikie wale wanaokihama chama na kwenda CCM au vyama vingine.
Mkuu nchi haipo huru siasa wafanye ccm tu wengine wasifanye, how stupid you are.
 
Labda sasa mtusambaratishe na mabomu kama rais wako kakutuma mwambie sasa tutaingia mitaani bora tufe au tuwe na democracy

Swissme

Kanituma nije kuwachonganisha viongozi wa CDM? Mbona wanaonekana wamelala hata katika issue nyeti?
 
Mwambie Magu akome kitumia pisa za walipa kodi kwenda kumpa DC Arusha na kuwaonga jinga kabisa pumbavu kama rais wako anavyowaita TANZANIA.

Swissme
 
Hapa hatii mtu kongoro.
Sio wote walio nayo hayo makongoro but mengi yanapatikana lumumba st yalikojaa walafi na mafisadi! Ya cdm waachieni wenyewe kwani hakuna aliyomba consultations zenu! Kinana amerudi? Vipi mzimu wa Nape na Nyalandu unawapleka babesihabesi kiasi kwamba mmewagwaya?
 
Kama hii ndiyo siasa,basi ikulu ni yenu 100%,hongera.
 
Naona hapa kuna issue ya mahaba inasumbua watu hata ukweli hawautaki wao ni kusifia tuu hata ujinga as far as wanaofanya ni waupande wao
 
Sawa mke wa polepole endelea kutetea wali wako usije shinda njaa ngonja chadema itetee wanyonge walio wengi wewe kwakuwa umeolewa na mwana ccm tetea ugali wako.

Swissme

Utetezi gani huo ambao hatuuelewi? Au ndo uke wenza wa Mbowe unakusumbua ndugu yangu?
 
Mara nyingi nimekuwa nikiawaangalia viongozi wangu wa CHADEMA na hasa ngazi ya Taifa na kushindwa kuwaelewa kabisa namna wanavyoshughulikia mambo ambayo kimsingi yana maslahi kwa chama. Wamekuwa very disorganized. Kwa sasa ile nguvu ya chama as chama haionekani na badala yake imekuwa kama kila kiongozi anafanya mambo yake as long as yanamletea sifa yeye mwenyewe binafsi. Ikitokea mtu huyo akaacha kulisimamia jambo hilo basi huoni tena watu wengine wakilisemea kwa maslahi mapana ya chama. Nitatoa mifano:

Kuhama madiwani Arusha (Steering: Nassari na Lema)

Kimsingi issue hiyo ilikuwa na maslahi mapana kabisa ya chama, lakini unaona ngazi ya Taifa seems as if they don’t care. Ni Nassaari na Lema tu ndo wanaonekana kulikomalia sana. Mie nilidhani baada ya kupata ushahidi CDM taifa wangesimamia show mpaka kieleweke lakini kwa sasa hata huwaoni.

Issue ya Lissu (Steering: Mbowe)

Mbowe hataki kabisa mtu mwingine azungumzie suala la Lissu hata kama ni Mtendaji Mkuu kama vile SG. CDM ni taasisi kubwa hivyo taarifa hizo zingeweza kuwasilishwa hata na Katibu Mkuu lakini as long as mtu anataka popularity anazuia mtu yeyote kujihusisha na hilo.

Aidha kuna mambo mengi ambayo alikuwa akiyasimamia Lissu. Tangu aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana, mambo hayo hayazungumzwi tena na chama. Inaonekana kama hakuna mambo yanayosimamiwa na chama ngazi ya Taifa. Kiongozi yeyote anaweza kuliamsha dude na akalisimamia mwenyewe hadi mwisho.

Ubinafsi, wivu, kutaka sifa binafsi, na uchu wa madaraka kwa baadhi viongozi waandamizi wa chama ni tatizo kubwa sana. Kwa utaratibu huu sidhani kama CDM itashindana na CCM kwa kuwa wana nguvu nyingi na utaratibu unaoeleweka kutoka ngazi ya chini hadi Taifa. Upinzani wataendelea kuwa wasindikizaji tu kila mara, na CCM watatawala milele yote. Ikiwa kunakuwa na ubinafsi kiasi hiki basi wasiwalalamikiwe wale wanaokihama chama na kwenda CCM au vyama vingine.
Wasipomdhibiti kwenye chama chake, watanzania tutamdhibiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom